| |
Ukumbi – Maswali ya kuuliza kuhusu
ukumbi
- Anza kufikiria ukumbi, angalia hapa...omba ushauri kwa rafiki
ndugu na jamaa
- Chagua ukumbi wa harusi, baadhi iko hapa
- Tembelea kumbi ulizozichagua kwa habari zaidi – set
a date
- Kama umeona ukumbi unaoupenda katika siku unayotaka, book
huo ukumbi
- Fanya malipo ya awali kama umeridhika na mahali hapo, kumbuka
kuandikishana au kuchukua stakabadhi halali
Maswali
- Maegesho ya magari
- Idadi ya juu ya watu wanaoweza kuwepo kwa wakati mmoja
- Je wanatoa huduma ya chakula
- Je wanatoa huduma ya vinywaji
- Viti na meza je?
Viti, meza na maturubai
- Kama ukumbi hauji na viti na meza, fanya mipango ya kupata
mahali pengine kama hapa
- Kama ni ukumbi wa nje na hali ya hewa inafaa maturubai, inabidi
kufanya mpango huo
Chakula na huduma nyingine
- Fikiria unataka kuserve chakula gani
- Tafuta caters na kuwafanyia mahojiano, wengine wako hapa
- Chagua cater kama umeridhika na mkubaliane bei na menu
- Fanya malipo ya awali bila kusahau stakabadhi yako
Vinywaji na wahudumu
- Mpaka sasa unajua ni vinywaji gani unataka na kwa kiasi gani
- Ukumbi unatoa huduma hii ya vinywaji? Je iko ndani ya budget
yako?
- Kama la tafuta mtu wa kukuletea vinywaji
- Nani atahudumia, ukumbi unatoa wahudumu? Au mtu wa vinjwaji?
- Fanya makubaliano, toa malipo ya awali
- Usisahau Champagne, yenye kilevi au la? Angalia
mapendekezo
Keki
- Keki , chagua aina unayotaka na nani atakayekutengenezea,
anza na cater wako
- Lipia keki yako
|
|