|
| |
| |
TOPIC: SALAAM
|
|
Wapenda wana hy natumai nyote mu wazima kwa uweza wake Mwenyenzi Mungu. mie ni mzima kabisa ila 2 ubusy wa hapa na pale jaman na safari zisizokwisha kutafuta riziki mwenzenu. nimerud japo c kila cku km ambavyo mlinizoea mwanzon kwan majukumu nayo yanabana hivyo naomba mnipokee na 2endelee kubadilishana mawazo ya hapa na pale nadhan ss chama kimekuwa kikubwa, japo sijapata mda wa kusoma mada zote kwan ni nying sn na pia zimeshapita mda ila naona majina mapya meng 2 ya wanahy wageni kwa upande wangu km c kwel bac da marianyafuru,neema na kemmy watanisaidia kulijibu hilo. Jmn mie bado nina kesi na mama B ya kutukutanisha wanahy jmn toka mwaka jn nalia 2 naona na mwaka huu pia unaishia bila kufahamiana bal ni kujua majina 2 haipendez wenzangu naona 2kimit 2kashake hands na kubadilishana ideal live inaendeza jmn, mie Mungu akipenda september mwanzoni ntakuwa dar 4 almost a week so yoyote mwenye chance naomba kuonana nae personal address yangu ni saljudy@hotmail.com hope will talk more through this nakuplan how will meet that tym
Niwatakie nyote siku njema,kazi na shughuli zenu pia ziende salama 2zid kuombeana na kupambana ktk kulisakata gurudumu hili la maisha bila kuacha sala na toba kila wakat kwake Muumba.
NIMEWAMISS WOTE HOPE MTANIPOKEA |
| |
Topic by:Aunt J Date: 2010-07-27 |
|
|
| |
|
|
|
| |
E-MAIL ME FOR NEW POST |
|
|
 |
| |
|
|
| |
Tunashukuru kwa taarifa tutawasiliana nawe pindi itakapolazimu kufanya hivyo. |
|
| |
Reply by: Mushobozi, Date: 2010-07-27 05:29:49 [Report Abuse] |
|
|
 |
| |
|
|
| |
Karibu sana, pia nikutakie maandalizi mema ya safari, Mungu akituweka hai 2takuwa pmj. Tchaoooooooooooooooo. |
|
| |
Reply by: nmhidze, Date: 2010-07-27 08:36:07 [Report Abuse] |
|
|
 |
| |
|
|
| |
Aunt J mpaka jamani tutume RB ndo utokee mdada??karibu saaaaaana.Kijiwe kimekumiss mnooooooooooo.karibu mpenzi, Im glad umerudi.walio Dar watawasiliana,tulio mbali tutawasilina akwa email mama.karibu tena na have fun mrembo..wengine Hy tushaonana kwa facebook so twajuana sasa, wengine kwa simu yaani wengi sasa twajuana, twaweza fananisha maneno na sauti au sura basi mambo mswano.. |
|
| |
Reply by: nyafuru, Date: 2010-07-27 10:28:05 [Report Abuse] |
|
|
 |
| |
|
|
| |
Aunt J karibu sana, jamani wengine tuko mbali na nyumbani, hivyo nadhani email umeshaweka basi twaweza kutafutana. Nakwambia Maria acha tu.. iko siku utashangaa nimekuibukia huko uliko inshallah! Jamani kweli yaani HY imetufanya tumekuwa kama familia.. |
|
| |
Reply by: Daniella, Date: 2010-07-27 12:02:27 [Report Abuse] |
|
|
 |
| |
|
|
| |
Teh teh Daniella mwenzangu uniibukie tuuu, manake tutafukuzwa kwa hivyo vicheko sema mbabe wangu ananijua kwa makelele so hatashangaa saaana, yaani tumekua familia familia ndo maana wengine waspoonekana huku hata kama manwasilina aunaona kuna kitu kinamiss basi balaa tupu..jamani mnaoanza siku basi iwe njema, yenye raha na kila jambo jema, mnaolala basi na muwe na njonzi njema |
|
| |
Reply by: nyafuru, Date: 2010-07-28 01:34:51 [Report Abuse] |
|
|
 |
| |
|
|
| |
Karibu Bongo! Sema tukuandalie nini, kuna nyama choma, makande, ugali, thamaki, matembele, juisi za kila aina, kama za mafenesi, maparachichi, karoti, kitunguu saumu (garlic), embe nakadhalika. Mimi najitolea mbuzi wa nyama choma. Lakini sikuhakikishii sana, unaweza ukapata juisi za ceres tu. Unajua wasichana wa siku hizi wakitembelea wachumba zao wanakaa sebuleni na kuangalia movie tu, ikifika saa ya kula anamuuliza mchumba wake, tunaenda kula wapi. Ukiwatembelea kwao utakuta kuna rice cooker, heater ya kuchemshia maji, nk. Hiyo ndio dot com. |
|
| |
Reply by: mbwange, Date: 2010-07-29 05:20:41 [Report Abuse] |
|
|
 |
| |
|
|
| |
Ila naona kama points nilizoandika hapa sio nzuri sana msinipige sana unajua mikono yangu inawasha sana leo alafu sijisikii kufanya kazi. Nimeamua kudonoa donoa hapo ili angalau nipoteze muda, japo ni kweli kabitha kabitha. Dada zetu siku hizi wanaogopa kupika wakihurumia kucha zao. Kwanza wali wa rice cooker sio mtamu. Ila karibu sana Aunt J. Na mbuzi yuko pale pale. Kazi itakuwepo pale ambapo home sijawahi kuchinja mbuzi hata siku ya christmass ukija wewe nachinja. Hahahahahahahaaa! Naweza kubabaisha na kisa cha mwana mpotevu.
|
|
| |
Reply by: mbwange, Date: 2010-07-29 05:32:07 [Report Abuse] |
|
|
 |
| |
|
|
| |
mbwange, sasa kaka yetu mbona unatuangusha? Eti wadada hapendi kupika (GF apike kwani kaolewa hapo kwa huyo BF? Ndio haya mambo tunawakaza wadogo zetu kutwa unashinda kwa mwanaume na kupika, mwisho wa siku unaachwa. Cha msingi jamani muache huyo dada aamue kwamba atakupikia au la)..Hivi jamani kuwa na cooking aid kama rice cooker, heater ya kuchemshia maji ni vitu vya kumsengenya GF?? Ama kweli siku hizi wanaume wa kibongo wanatafuta kila endeleo ilimradi tu kunyanyasa. Maana ukiwa na degree kosa, ukiwa na fridge, heater, rice cooker kosa. Na Mbwange i can tell you one thing huo wali kama haujaona umepikiwa wapi wala hautaona difference...wabongo sasa mnataka wadada kutwa washinde kwenye majiko ya mkaa na kuni au?.-dissapointed fellow |
|
| |
Reply by: Anonymous , Date: 2010-07-29 06:05:07 [Report Abuse] |
|
|
 |
| |
|
|
| |
Hhahahahahah mbwage ww kwel mikono inawasha, jmn sio kuhofia kucha 2 bal mda pia ss km m2 anaingia job morn anatoka nyt unategemea apikeje km sio rice cooker mbona hata hivi vifaa kuna wakaka wana2mia ama nao 2tawaita wavivu? Jmn da marianyafuru nadhan umemwoma mbwage ajiandae 2 na huyo mbuz otherwise ntamtoa roho.
Jmn niwashukuru nyote kwa kunipokea na kunikaribisha tn kwa mikono miwili Mungu awape nguvu na kuwajalia moyo huohuo ht kwa wengine. Asanteni |
|
| |
Reply by: Aunt J, Date: 2010-07-29 08:41:26 [Report Abuse] |
|
|
 |
| |
|
|
| |
mbwange kama bhujawhai chinja nyumbani watafuta kutolewa speed usije mfanya aunt J akamwagiwa ukoko bure..teh teh teh ehh kwani mbona ninyi hampiki nani asiyetaka raha, mnalo kaka..na kweli umesema jamani wali wa rice cooker sio mtamu manake mbabe ndo siku akisema napika ndo waula huo basi mie naona kama nala makapi kha..nikajua kwa vile sijui nimetoka shamba kumbe nawe ehh..teh teh mtapika tu..marianyafuru |
|
| |
Reply by: Anonymous , Date: 2010-07-29 11:08:13 [Report Abuse] |
|
|
 |
| |
|
|
| |
Karibu tena aunt J nilikukosa sana hapa. Mbwange ule wakati wa kina bibi na babu kuteseka kwa kiasi kikubwa sasa tunataka kuondokana nako, ukweli kama uwezo upo kwa nini niishike mchi/ mwichi kutwanga wakati blender ipo? siku hizi mwendo mdundo tu sijui mkate wa mchele sijui kufua au kufagia we unasimama unatekenya button mambo yanajipa hahahaha thatha ni wewe mwenyewe tu kukithia vipimo vya huo wali unaoupika na mchele unaoutumia unachambuka kama kawa. Kuhusu kucha ndo uthitheme ni hela yako tu ma-pedcure nk nk ni wewe tu hata huo mkaa tunauchezea ikibidi ukisha unaendazako kujikarabati, kwenye hela hakuna lisilowezekana bwanaaaa. ninapenda sana mambo ya shamba nikichezea udongo natoka zangu huyo nashughulikia mikono yangu wala huwezi jua kama huwa napita shamba sometimes hivyo usilaumu kina dada wa watu bure, ni wewe tu utakavyojipanga na kujitunza uzuri wako usiharibike.Kina mama wa kidhungu wanaishi muda mrefu na nguvu kwa sababu kazi zao nyingi wanatumia mashine so kama kujipunguzia kazi na kuukomboa wakati kwa kutumia mashine ni vema pia. Teh kaka Mbwange kwani wewe bado unatumia pathi ya mkaa wajemeni? hahahahahaha usinichane mbavu zangu hapa |
|
| |
Reply by: Salua, Date: 2010-07-30 01:10:42 [Report Abuse] |
|
|
 |
| |
|
|
| |
teh teh teh mbwange bwana kumbe bado mambo ya kizamani ya kupikiwa na MAGF, jamani wengine tungekua wasichana sasa hivi wakaka mngepata tabu kha..upikiwe kisaaaa???hujui kula??waume tu unapoika wakati mwingine mdomo umenuna kama mtego wa panya..manake chochote kipitacho kitanasa khaaa |
|
| |
Reply by: nyafuru, Date: 2010-07-30 01:54:52 [Report Abuse] |
|
|
 |
| |
|
|
| |
hahahaha Mbwange yaani mi mgeni unanifukuzia jikoni? aaaa wapi sidanganyiki!! Aunty J karibu sana kwenye kijiwe ....tutakusindikiza kula mbuzi kwa Mbwange kuhakikisha hushikishwi mkaa...teh teh |
|
| |
Reply by: Pozi, Date: 2010-07-30 04:39:31 [Report Abuse] |
|
|
 |
| |
|
|
| |
Teh teh teh teh! Jamani mbavu zangu mie. Humu ndani watu mna maneno utafikiri mmesomea kozi ya kutoa majibu? Nilikua napita tu ndo nikakutana na majibu ya wanazuoni. Jamani Aunt J karibu sana ingawa sikufahamu. Marianyafuru na wengine you have made ma day! Nakio. |
|
| |
Reply by: Anonymous , Date: 2010-07-30 04:58:55 [Report Abuse] |
|
|
 |
| |
|
|
| |
karibu mno mdada wetu, |
|
| |
Reply by: Anonymous , Date: 2010-07-30 10:14:04 [Report Abuse] |
|
|
 |
| |
|
|
| |
Da salua hata mie nikitaka kukanda chapati natumia ile mashine ya kukandia (Siijui jina da maria anisaidie) , ukilainika ndio namalizia na mkono. Yaani ni tabu bwana akhaa.. |
|
| |
Reply by: Anonymous , Date: 2010-07-30 10:58:01 [Report Abuse] |
|
|
 |
| |
|
|
| |
Nawashukuru sn wanahy wote kunikaribisha ila naona mmemkomalia kwel mbwage mpen bac hata chance aheme mwana wa mwenzenu ila nadhan yote kayataka mwenyewe, coz mwanamke cku hiz ukiwajibweteka wajanja wanamuwah aliyekuweka ndan mwenzangu ss ww ushinde na kikucha michafu still wenzako wafanya manicure,pedicure wanapendeza ss unategemea nn hapo?? Me nadhan mbwage anaogopa kufulia bwana hahahahhahahah coz mwanamke shughul eti hasa inapokuja swala la kujiweka mkao hahahehehteeetetee wap kemmy jmn anisaidie mbavu zangu. Nakio ucjal mpz utakuwa wanionaona walau mara moja ni vile nilipotea 2 ucjal utanifaham km uko bongo ndo kabisa utapata walau fursa ya kuniona na kunifaham zaid. Tchao |
|
| |
Reply by: Aunt J, Date: 2010-07-31 03:18:00 [Report Abuse] |
|
|
 |
| |
|
|
| |
Hapa naona mila na desturi zetu za waafrika zinadidimia. Mgawanyo wa kazi ulikuwa mzuri sana. Basi mimi nitaleta mbuzi, wasichana wamchinje, wamchune ngozi, alafu mimi nitapika. Sasa tunakutana wapi jamani??? |
|
| |
Reply by: mbwange, Date: 2010-08-03 02:41:23 [Report Abuse] |
|
|
 |
|
|
| <<Back to Topics<< >> Reply to this message>><<EMAIL ME FOR NEW POST << |