|
| |
| |
TOPIC: Issa Juma haujakosea uko sahihi
|
|
Ndugu Issa Juma mi nikiwa kidume mwenzako nakuunga mkono kuhusu ishu ya kumtest kwa suala la mkwanja huyo mdada uliyoileta June 18.
Kuna watu wamekushambulia. Lakini kutokana na story yako kuwa huyo mdada ulimtokea 2005 na akakutosa, amekuja kukutafuta baada ya miaka 7 kupita ni wazi hana mapenzi na wewe, anataka umsaidie kutatua shida zake tu.
Mwanamke wa dizaini hiyo siku ukifulia anakutosa anatafuta mwingine anayeweza kumpa hela.
Umefanya sahihi kumtest kwa kumuahidi pesa, na kisha kutompa ili uone atareact vipi. Ila sina uhakika ulimwambiaje wakati wa kutompa. Njia nzuri ni kumwambia, "Dah nilikuwa nategemea pesa fulani ila haijaingia." Halafu vuta vuta kidogo mwangalie je anakuthamini kwa lolote au anasubiria tu pesa iingie umpe ndio akuone wa maana. |
| |
Topic by:Derreck Date: 2012-07-18 |
|
|
| |
|
|
|
| |
E-MAIL ME FOR NEW POST |
|
|
 |
| |
|
|
| |
Hahahahaha Derreck wewe kabila gani lakini?Najua unachotaka mapenzi ya kweli lakini hili la kutoa hela huwezi likwepa kwa ulimwengu wa sasa. Wako wachache sana siku hizi, hiyo inasababishwa na hali ya uchumi na mabadiliko yake maisha yana mikazo mingi sana na kuonyesha wema ni pamoja na kutoa bila kutoa mapenzi hayakolei siku hizi . Haya usinicharure wala usiwe na mtazamo hasi kwa mswali na maelezo yangu ila najaribu kukutoa wasiwasi kuwa Unapoombwa msaada wa hela ni katika nia njema na sio kila mwanamke anaweza kukumwaga utakapofulia du! mpaka naongea lugha za dot.com Salua |
|
| |
Reply by: Anonymous , Date: 2012-07-18 04:04:54 [Report Abuse] |
|
|
 |
| |
|
|
| |
Salua ni kweli kutoa kupo. Ila inapendeza sana kwa mwanaume kupendwa kama alivyo, pesa iwepo au isiwepo. Na hilo liko wazi kwa kila mdada kuna mwanaume anayempenda kama alivyo. Yuko radhi kudu naye hata bila kupewa chochote.
Sasa ndio kumshauri bwana Issa kama anataka mapenzi ya kweli basi ni muhimu kutest kama alivyofanya. Ila kama anataka kupita tu sio mbaya kukata mshiko, ila isiwe kiasi kikubwa sana kabla hajapewa mambo. Maana kukata sana kabla hujaonja nako ni hatari.
//Derreck |
|
| |
Reply by: Anonymous , Date: 2012-07-18 04:35:09 [Report Abuse] |
|
|
 |
| |
|
|
| |
Na cha zaidi hapo ni hiyo miaka saba ndio inatoa imani. Hata kama ni "kumfikiria" mtu miaka saba ni mingi sana. Kawaida inakuwaga haizidi mwaka. Hapo dizaini mdada keshawafikiria wote anaowakubali ndio mwishoni kabisa akamkumbuka Issa Juma. hahahahahaaaaa. ... Jimmy |
|
| |
Reply by: Anonymous , Date: 2012-07-18 04:41:43 [Report Abuse] |
|
|
 |
| |
|
|
| |
JIMMY ukifuatilia maelezo yake ya awali alipoomba ushauri inaonyesha kuwa Issa alitaka kununua penzi na ndipo mrembo akaona aende kwa anaeonyesha mapenzi ya kuoa. Bahati mbaya sana huyo aliyemuoa alifariki, na shida zilipomzonga akakumbuka kuna aliyetaka kuuziwa penzi ndipo akamrudia. Jamani hata sie tunataka mwanamme mwenye kumaanisha sio kupotezeana muda na kama utaonyesha unanunua penzi ni kweli utauziwa na kama unaonyesha mapenzi ya kwali utapendwa kwa dhati kama vile kipimo ulichopima ndicho utapimiwa. Wewe siku ya kwanza tu unataka mchezo si wazi kuwa unataka kununua penzi hebu mungeeleweka muone kama hamkugewa hilo penzi bureee baada ya kuonyesha upendo wa kweli na wa dhati. Pole kwa kuongea yote hayo maana naona kama hamkumwelewa tangu awali yule dada wa watu. Salua. |
|
| |
Reply by: Anonymous , Date: 2012-07-18 07:10:23 [Report Abuse] |
|
|
 |
| |
|
|
| |
Salua, nimkeuaminia kwa jinsi ulivyomjibu huyo JMm hapo juu.Big up Mama. Ina maana sasa hoja zimeisha hadi watu wanafufua yaliyopita ambayo watu waliyakemea kwa nguvu zote!!! |
|
| |
Reply by: Anonymous , Date: 2012-07-18 09:55:34 [Report Abuse] |
|
|
 |
| |
|
|
| |
Salua,
Kwenye mapenzi ya dot.com huwa hatuchukui kauli at face value. Hiyo ya kusema mumewe kafa ni kauli ya mdada, ambayo kwa uzoefu wangu na wasichana wa dot.com hapa Dar inaweza kuwa haina ukweli wowote.
Ni waongo sana Salua you can't imagine, yaani wanasemaga wanaume ni waongo ila hivi sasa naona wanaume hawawafikii wanawake wa dot.com kwa uongo hata 10%
Kuna mdada alikuwa anataka kuzaa na mimi akaja na stori ndeeeefu eti dokta kamshauri azae ndio afya yake itakaa vizuri. Nikamshtukia. Kumbe mtu kaona anagonga 30 ameanza kuchuja wa kumuoa haonekani.
Enzi hizo kabla sijawa mjanja kuna mmoja alinipatia kweli alinipa stori ndeeeefu ya baba yake alivyowatoroka maisha yalipokuwa magumu, kijana wa watu kwa sababu ya mapenzi nikahangaika maskini kutangaza magazetini kuwa kuna mdada anamtafuta baba yake.... nakwambia nikatangaza mpaka Kenya na Uganda. Mwisho wa siku akajaga kunitapeli kuwa baba yake kapatikana China nimsaidie nauli halafu akifika huko atanirudishia. Duh badaye kuja kuujua ukweli kumbe China kafuata buzi, maskini mie ndio nimelipa nauli ya kumpeleka huko akalambwe na kidume mwenzangu.
Kwa hiyo chezea mbali kabisa hii dot.com. Yaani hiyo story ya "Mume wangu kafariki na kabla ya kufariki tulikuwa tumeshaachana kama miaka miwili" namshauri Bwana Issa Juma wala asiimeze kama ilivyo. Kama ana uwezo wa kufuatilia na anamtaka huyo mdada basi achunguze kimemsibu nini mpaka leo hii baada ya miaka saba ndio kamkumbuka.
Mi mwenyewe huyo mdada aliyeniliza nilimtongozaga akatosa halafu after one year ndio akaibuka akidai kanimisi, na akaja na hizo stori za baba kakimbia, nyumba yetu imeuzwa. Kumbe zote fiksi mtu tu alikuwa na matatizo yake anatafuta pa kuponea.
//Derreck |
|
| |
Reply by: Anonymous , Date: 2012-07-18 11:54:53 [Report Abuse] |
|
|
 |
| |
|
|
| |
Hahahaaaaaa pole Derreck!! Na ujanja wote huo ukaingizwa mitini? Au ndo na wewe ulikuwa kwenye mawindo ukafikiri umempata paa wa kuchinja kumbe unachinjwa wewe?
Tunajifunza mengi lakini si huyo ndugu yako unayemtetea .huyo alicholeta mara ya mwisho haikuwa sahihi kabisa kumdhalilisha mdada wa watu si angekataa tu ingetosha kabisa. |
|
| |
Reply by: Anonymous , Date: 2012-07-18 16:43:10 [Report Abuse] |
|
|
 |
| |
|
|
| |
Pole sana Derreck kwa yaliyokupata, lakini kumbuka kuwa hata hao wa dot.com wapo bado wanaoweza mpenda mtu bila sababu maalum, na wakaishi katika mahusiano kwa uaminifu , tatizo ni mhusika anapofanya papara na kuangalia vigezo visivoweza kuweka muungano wa kudumu, maana utakuta vijana wengi pia siku hizi wanapotafuta mweza hawaangalia vigezo vyenye kuweka msingi wa kudumu, na wengi pia wanaharaka ya kufunuana, hivyo utakuta mahusiano yanawekwa kwenye mchezo na kusahau vigezo vingi muhimu ili kudumu katika huo mchezo. Ninachojua mimi upendo wa kweli hauna sababu na hujitoa kwa moyo wote na kusamehe yote na kuhurumiana zaidi upendo wa kweli hauhesabu. Ndipo pale maandiko yanaposimama yakisema MSIYAAMSHE MAPENZI WACHA YAAMKE YENYEWE. hili neno ni dogo lakini linamaana kubwa sana, na wengi hujiingiza kwa kujaribu au kukidhi haja ya muda na mahitaji, matokeo hakuna upendo wa kweli ni kudanganyana na kuchunana kusiko na msingi. Derreck huyo wa kwako alikuwa mcharuko pia ulijiingiza bila kuwa na hadhari ya kutosha, naweza kusema ulimpenda ukawa kipofu macho wazi, ni kwa nia njema najua na uaminifu wako ndio uliosababisha umwone nae yuko kama wewe. Lakini usijali na wala usiweke dhana kuwa wanawake wote ni wadanganyifu bado wapi waaminifu wenye huruma na upendo wa kweli na dhati. Ubarikiwe na uondoe hiyo dhana maana imekuathiri sana, naweza kuiona kwenye Topic zako za huko nyuma Zinaonyesha kuna kitu kimekufanya uwe na mtazamo ulionao Pole sana uwe na moyo mkuu na ujasiri. Salua |
|
| |
Reply by: Anonymous , Date: 2012-07-19 01:09:06 [Report Abuse] |
|
|
 |
| |
|
|
| |
Anon wa 2012-07-18 16:43:10 si unajua tena mapenzi hususani first love unapenda kiukweliukweli mpaka akili inalala.
Salua yeah siku hizi ni mwendo wa kuhakiki kila kitu, especially where money is involved.
//Derreck |
|
| |
Reply by: Anonymous , Date: 2012-07-19 01:29:05 [Report Abuse] |
|
|
 |
| |
|
|
| |
YAANI MWANAUME HUNA HELA ETI NIKUPENDE KAMA ULIVYOULIVYO AJE? LABDA KAMA NATAKA KUKUTOA KAFARA!! HEBU TAFUTENI HELA, UANAUME KAZI.EBO!! |
|
| |
Reply by: Anonymous , Date: 2012-07-31 15:09:49 [Report Abuse] |
|
|
 |
| |
|
|
| |
Jeff! We couldn't have done it wtouiht you and Tracy! Seriously the pics are beautiful. I have been watching the blog and was going to drop you an e-mail to say you survived but no pics? Great job it was truly a pleasure working with you! Look forward to the rest! |
|
| |
Reply by: dannyarao@yahoo.com, Date: 2012-10-15 23:42:37 [Report Abuse] |
|
|
 |
| |
|
|
| |
buy auto insurance online osz new york car insurance zjondm mail order viagra lsaceb affordable auto insurance 754274 insurance auto auctions 8-[[[ new jersey car insurance %PPP |
|
| |
Reply by: Anonymous , Date: 2013-04-15 10:28:23 [Report Abuse] |
|
|
 |
| |
|
|
| |
auto insurance 5259 new jersey car insurance tkvnag buy car insurance online %-( insurance auto >:OO car insurance rates >:-( cheap auto insurance 8)) inexpensive car insurance mbrqs |
|
| |
Reply by: Anonymous , Date: 2013-04-15 10:28:25 [Report Abuse] |
|
|
 |
| |
|
|
| |
auto insurance 93637 cialis levitra vs =(( free car insurance quotes ynrn car insurance =-( cheap car insurance 591518 cheap auto insurance rso |
|
| |
Reply by: Anonymous , Date: 2013-04-15 10:28:26 [Report Abuse] |
|
|
 |
| |
|
|
| |
average car insurance rates 6897 cheap car insurance 196725 car insurance quotes =-(( buy car insurance online 6635 carinsurance 009189 |
|
| |
Reply by: Anonymous , Date: 2013-04-18 00:34:17 [Report Abuse] |
|
|
 |
| |
|
|
| |
Comprar cialis online 296619 viagra on line 7661 online colleges 725869 auto insurance quotes 074113 free car insurance quotes >:-D car insurance 7444 |
|
| |
Reply by: Anonymous , Date: 2013-04-22 01:52:02 [Report Abuse] |
|
|
 |
| |
|
|
| |
auto insurance quotes :-)) cheap auto insurance 93163 car insurance quotes cjzs cheap cialis sale online >:PP auto insurance quotes kftv |
|
| |
Reply by: Anonymous , Date: 2013-04-25 02:25:39 [Report Abuse] |
|
|
 |
| |
|
|
| |
qkkmcnef Payday UK 6988 payday loans okTvFr payday advance bHZcPa cash advance loans 6599 |
|
| |
Reply by: Anonymous , Date: 2013-04-30 16:31:35 [Report Abuse] |
|
|
 |
| |
|
|
| |
carinsurance hpqbrz viagra without a prescription ecg cheap auto insurance dgu car insurance quotes mucch carinsurance =-( |
|
| |
Reply by: Anonymous , Date: 2013-05-01 23:46:16 [Report Abuse] |
|
|
 |
| |
|
|
| |
pvrspxw online payday >:-[ payday loans australia >:]] payday loan ewrWOe pay day loans >:]] |
|
| |
Reply by: Anonymous , Date: 2013-05-02 14:45:38 [Report Abuse] |
|
|
 |
| |
|
|
| |
cajmaslc payday loan 8]]] no fax pay day loan PhZZM same day loan 9103 payday loan 6101 |
|
| |
Reply by: Anonymous , Date: 2013-05-05 14:08:58 [Report Abuse] |
|
|
 |
| |
|
|
| |
new york car insurance 05984 levitra esihc price of cialis %D online auto insurance 4274 a auto insurance %[[[ cialis gfvcc viagra vobmes |
|
| |
Reply by: Anonymous , Date: 2013-05-07 20:00:14 [Report Abuse] |
|
|
 |
| |
|
|
| |
Cialis barata cialis >:-[[[ cheap car insurance 142 viagra 104 cheapest auto insurance iuopiu cheap auto insurance 68076 cheap car insurance 1156 |
|
| |
Reply by: Anonymous , Date: 2013-05-09 06:11:57 [Report Abuse] |
|
|
 |
| |
|
|
| |
viagra 5359 cheapest auto insurance 216 car insurance quotes ojdhes auto insurance quotes %O viagra fmvsqe auto insurance online jeigwn |
|
| |
Reply by: Anonymous , Date: 2013-05-11 17:32:16 [Report Abuse] |
|
|
 |
| |
|
|
| |
buy cialis online mcrn a auto insurance 176 cheap cialis sale online 2207 cheap car insurance 8OOO purchase viagra 8-OOO car insurance quotes =PPP cheap auto insurance 05268 |
|
| |
Reply by: Anonymous , Date: 2013-05-16 02:17:45 [Report Abuse] |
|
|
 |
| |
|
|
| |
viagra 247 sildenafil >:-]]] propecia >:]]] cheap car insurance tuepgi free car insurance quotes 53351 car insurance quotes 8808 |
|
| |
Reply by: Anonymous , Date: 2013-05-23 16:08:59 [Report Abuse] |
|
|
 |
|
|
| <<Back to Topics<< >> Reply to this message>><<EMAIL ME FOR NEW POST << |