|
| |
| |
TOPIC: Swali la kizushi
|
|
Hivi kwa nini mara zote mwizi wa mume wa mtu ndiye hulaumiwa,lakini mwanaume huyo anayemwacha mkewe na kwenda nyumba ndogo halaumiwi? Utakuta mke wa huyo mwanaume anamwinda huyo nyumba ndogo kama vile ndiye alikwenda kumwita huyo mwanaume, na wakati mwanaume huyo ndiye alimfuata na kumtongoza na labda kumdanganya kuwa sina mke na bl;ablaa nyingi? Mwanamke analaumiwa kila kona kama yeye ndiye mdhaifu wa kila jambo na kama yeye ndiye mfanyaji wa kila kosa lililoko huku duniani?
Reply by: Anonymous , Date: 2012-07-11 14:28:09 Muuliza swali
|
| |
Topic by:muuliza swali@gmail.com Date: 2012-07-13 |
|
|
| |
|
|
|
| |
E-MAIL ME FOR NEW POST |
|
|
 |
| |
|
|
| |
Umeuliza swali zuri lakini jiulize pia na hili hivi wewe anapokufuata huyo mwanaume kwa nini kwanza usianze kumchunguza kabla kuingia kwenye mahusiano? au kama anayekufuata na ukajua mume wa mtu kwa nini usimkatae? unajua wanawake na wanaume wako tofauti kwenye mahusiano mwanaume hawezi kuingia kwenye uhusiano asiojua kwa maana anachunguza kwanza sasa wanawake nao kwa nini wasifanye hivyoo? na ukizingatia sikuhizi kumezuka tabia ya kina dada kuzaa na waume za watu (single mother) wako wengi kweli yaani imekuwa sasa kama fashion na kunabaadhi yao ukiuliza mtoto baba unafichwa wala hawasemi kwa nini? kama siyo wanafanya kusudi?
wengi umri ukishapita au wakati mwingine anakuwa tu na tamaa ya kutaka kuolewa anakuwa desperate anaona akichukua mume wa mtu kwakuwa jamaa kaoa na yeye pia kwake anaona ndoa itakuwa karibu wengine wanadhania amuache mkewe aolewe yeye na wengi wao wamezaa na waume za watu tena si kwa kutojua hapana wamekusudia kabisaa kuzaa na mume wa mtu na ndiyo maana watu wengi wanamshutumu mwanamke maana ndiyo mwenye uwezo wa kumkataa huyo bwana kwa mwanaume ambaye hajaoa huwezi kumfukuzia ki rahisi ukampata wewe mke wa mtu jaribu kumfukuzia mwanaume ambaye hakuoa uone kama atakuchekea unless uwe unamuonga kwa sana. |
|
| |
Reply by: Anonymous , Date: 2012-07-13 10:42:55 [Report Abuse] |
|
|
 |
| |
|
|
| |
Hata mimi nashangaa sana wanawake wanaochukuliwa waume zao utasikia nitamchinja, sijui atanitambua, sijui nitamfanyia, na matusi kibao, badala ya kumshikia bango mumewe anahangaika kumshikia bango aliye mbali wakati mharifu wake yuko ndani hapo. mchangiaji wa hapo umedai kwamba mwanamke amchunguze ndipo amkubalie kama ameona hana mke, sijui unaishi dunia ipi?Wanawake tuko kwenye mahangaiko mengi sana ya kupata mwanaume, tuko wengi mno kusidi wanaume, sasa wengine wamezidi umri kabisa kiasi kwamba kumpata single wa kwenye umri kuanzia 35... ipo kazi labda awe amefiwa na mkewe au kama walewaleeee ambao hata siku moja hamkai yakaisha.Kwa hiyo mwanaume anapokuonyesha anakupenda na ukimhoji mara mbili tatu akakupa maneno ya kukuhakikishia yuko single ungojee nini wakati ndicho ulikuwa unakiotea ndoto? Pia wengine anakuambia mimi Muislamu hivyo nataka kuoa mke wapili. Ukijitia kuchunguza sana unachelewa utakuta mwenzio kakamata. Wengi mliobahatika kupata waume wa kuwaoa mshukuru Mungu sana, maana hamjui yanayotupata sisi wengine ambao ndo kwanza tunatafuta nani anioe. Kuishi maisha ya upweke si jambo rahisi kama unavyoweza kuwaza kwa vile una mume ndani huoni shida. Mimi nikija kuolewa mume wangu akitafuta kimada nje na nikajua, nitapambana na mume wangu tu na wala si mwanamke mwenzangu kwa sababu najua na yeye ni mtafutaji,lakini Mume ndiye ajue kujichunga kwa sababu ana mke tayari. |
|
| |
Reply by: Anonymous , Date: 2012-07-13 14:09:42 [Report Abuse] |
|
|
 |
| |
|
|
| |
Wanawake wengi wameubeba huo msemo kama wako na kusema wanaume wachache wanawake wengi nakushauri tu kwa faida ya wengine wote neda kaingie kwenye data utajua kuwa tanzania wanawake wangapi na wanaume wako wangapi kisha ujue namna ya kutafuta mwanaume mwema na siyo mwanaume suruali ambaye siku ya siku aje akusumbue ukiuliza eti kwa kuwa wanaume wachache dada dunia ya jana na ya leo tofauti ila ukiwa na haraka na papara basi jua unajiingiza mkenge mwenyewe kwa kujitia upofu wa huo msemo wako uliopitwa na wakati na watu waliotumia huo msemo pia hawakumaanisha ki wingi wa watu walikuwa wanamaanisha ukweli na uaminifu sasa kama wewe utabeba mwanaume ili mradi kakutamkia nakupenda wewe beba tu mwisho wa siku unaanza kulia na kusema wanaume wabaya wakati ubaya unao mwenyewe kwenda kuchagua nazi koroma. |
|
| |
Reply by: Anonymous , Date: 2012-07-14 07:57:22 [Report Abuse] |
|
|
 |
| |
|
|
| |
Ann wa hapo juu nadhani wewe ndio hujaelewa maana halisi ya msemo huo.Hata wanaume hawawezi kuzoa tu mwanamke yeyote anayekuja machoni pao.Msemo huo bado una unyeti wake na wala haujapitwa na wakati.Ndio maana siku hizi wanawake wanagombania wanaume, utaona mdada anateswa sana na mwanaume lakini hataki kutoka hapo,jiulize ni kwa nini?Suala la kuokota mwanaume yeyote hilo si hoja maana hata wale waliochunguza kupitiliza baadaye walipoona wamepata wa uhakika ndio hao unawasikia hata humu HY wanalalamika kila kukicha. Kumpa mwenzi wa uhakika hakutemegemei akili za kibinadamu,bali Mungu ndiye awezeshaye hayo.Na Mungu ana uiwezo wa kubadili ubaya ukawa ni uzuri.Hao wanaume hata ukimdhibiti huyo mwanamke wa nje bado utakuwa hujamaliza tatizo maana ataenda kwa mwanamke mwingine.Ni sawa na kutibu ugonjwa wa malria,ukaacha kutibu chanzo cha ugonjwa huo,malaria yataendelea kuwepo tu. Mwanaume mwenye kuridhishwa naye ni yule uliyeridhika naye,haitewgemei yukoje au katoka wapi.Amini usiamini wanaume ni wachache na ndio maana wanawake tunahangaika kila kukicha.Na katika uchache huo ndio penye kashikashi ya kumpata wa ukweli na hapo ugumu unazidi kupaa juu.Je sasa mtu kapata mume wa mtu ambaye anajua atamkatia kiu yake atamwacha?Ndio wale wanasema tutabanana hapo hapo, mke aendelee kutunza ndoa, na kimada atatunza penzi period. |
|
| |
Reply by: Anonymous , Date: 2012-07-14 10:42:12 [Report Abuse] |
|
|
 |
| |
|
|
| |
Kwa mtazamo wa anony wa hapo juu.... ukimwi hautakaa uishe ng'oo... maana mwanaume mmoja anaambukiza wanawake kumi...... na wanawake wengi ndiyo walioathirika..... wanawake kama hamtakubali kubadilika..... kazi mnayo kweli kweli........ |
|
| |
Reply by: Anonymous , Date: 2012-07-15 22:48:23 [Report Abuse] |
|
|
 |
| |
|
|
| |
kwa mtazamo wangu wa kulaumiwa ni wote mtongozaji na mtongozwaji. ask me why? siku hizi wanawake na wanaume wote ni watongozaji na hili halina ubishi. zamani wanawake walikuwa na haibu sana na ilikuwa ni ngumu mwanaume kumtongoza mwanamke atatumia ubunifu wa hali ya juu mpaka ampate mwanamke huyo ila kwa sasa wanaume hawatumii hata chembe ya nguvu sababu wanawake wanajitongozesha wenyewe. sometime unakuta mwanaume hana hata wazo la kumtongoza mwanamke ila uvaaji wa sisi wakina dada kwakweli unata aibu na wanaume hawa wenye moyo dhaifu isiyoweza kuhimili mshindo wa ngoma hadi inapoisha ndio wanajielewa kwakweli wanaingizwa kwenye mitihani migumu sana na ni wachache wanaweza kuhimili vishindo. mimi nimeshuhudia kabisa wakina dada wanapanga mikakati jinsi ya kumpata mwanaume tena ni mume wa mtu na kwa maisha ya siku hizi yalivyo magumu mahitaji ni mengi na fashion trends zinabadilika kila kukicha wasichana wengi wanajitongozesha kwa waume za watu sababu hao ndio atleast maisha yako bora kidogo kuliko single men ni kweli kwamba mke anapaswa amlaumu mumewe kwa kwenda nje but na huyo mwanamke wa nje pia lazima abanwe ili amwache huyo mume wa mtu na wote wawili watabaki kulaumiwa. unless huyo mke amfunge kamba mumewe au kengele. dunia imeharibika sana kwa sasa si wanawake si wanaume wote maadili yamepukutika na hii nikutokana na utanda wazi.mi siamini eti mwanaume anaweza akakudanganya kwamba hajaoa wakati ameoa na ukawa naye in a relationship for quite a long time hii huwa nauita ni ujinga,kujirahisisha kutojiamini na kutojitambua thamani ya maisha yako kama mwanamke. how can you be in a relationship eti unamwita boyfriend wangu angali mnakutana bar tu na guest houses? hata siku moja hakupeleki kwake? hakutambulishi kwa ndugu jamaa na marafiki au na hao mnakutania bar tu? then ukiona hivyo utambue kuna tatizo na hiyo siyo relationship ambayo eventually italead to a good marriage. na kama umeshatambulishwa hao ndugu kweli mwanamke wa sasa huna ujanja wa kudadizi na kusoma alama za nyakati kujua huyu kaka kaoa au la? no nakataa na nitasema wanawake tunaogopa kujua ukweli na huwa tunakurupuka pasipo kuwa makini na eventually it hits back on us na ndio maana mara nyingi tunalaumiwa kwamba tunaumizana wenyewe kwa wenyewe.PRINCESS |
|
| |
Reply by: Anonymous , Date: 2012-07-16 06:05:38 [Report Abuse] |
|
|
 |
| |
|
|
| |
Anonymous , Date: 2012-07-13 14:09:42 samahani sana naomba niksahihishe mtazamo wako maana huo ni mtazamo potofu ambao umeshawapotosha wanawake wengi na wengi wao wameishia kuwa single mothers tena kwa kuzaa na waume za watu. its not true kwamba wanawake ni wengi kuliko wanaume please go and verify your datas. pili wanawake wa tabia ulizoziongea hapo ni wale wanawake ambao wako very selective na choices, in short ni wanawake ambao wanapenda ready made wanaume i hope wadau mnanielewa na wanaume wa aina hiyo its true ni wachache sana na wengi wao tayari wameshaoa na wana familia zao. but remember hao ready made hawakuwa hivyo kipindi wako uboyfriend or uchumba na wake zao they built their castles from sand.wanaume wako wengi sana ambao hawajaoa na wanaohitaji mwenza wakutengeneza maisha pamoja ila wasichana wa siku hizi wanapenda vya fasta hiyo ndio shida. tatu na mwisho ukiona unahit 30's hadi 35 na hujapata mtu wa kukuoa jaribu kureaccess maisha yako kwanza na tabia yako usije kukuta wewe ndio you have been chasing away those men. au ulikuwa na relationship for too long anticipating that mtakuja kuonana but your insticts were telling you there is no life with that man instead you kept him hoping. tusimlaumu mungu mimi ni mkristu na mungu kaumba kila binadamu na mtu wake just look for your perfect match and he is right there you will find him and lets stop wasting time with waume za watu.PRINCESS |
|
| |
Reply by: Anonymous , Date: 2012-07-16 06:05:58 [Report Abuse] |
|
|
 |
| |
|
|
| |
Anonymous , Date: 2012-07-16 12:34:33 endelea kubanana mpaka uhit menopose ukija kushtuka you are all alone umezeeka no one gives you a glance eventually you die for being a loner. tatizo you think your winning ila ni mnatumika pasipo kujielewa PRINCESS |
|
| |
Reply by: Anonymous , Date: 2012-07-17 02:24:55 [Report Abuse] |
|
|
 |
| |
|
|
| |
Wee unayesema kubanana endelea tu kubanana na maradhi pia mtabanana nayo kwani tatizo liko wapi na wewee pia kaa mkao wa kusaidia kusambaza vvu maana hujui naye mkewe anahangaikia wapi polee weee. |
|
| |
Reply by: Anonymous , Date: 2012-07-17 02:45:40 [Report Abuse] |
|
|
 |
| |
|
|
| |
Lieni na kusema yoteeeee lakini hamtaweza kuzuia hilo,la sivyo umkamatishe mumeo basi. Nyumba ndogo ni kama unapokula chakula hotelini haina maana unakikana chakula cha ndani,bali ni kutuliza njaa ya wakati huo na lazima ughalimie.Hivyo sisi tusio na waume tunawasaidia kuwalisha chakula cha hotelini na jioni wanarejea kula chakula cha nyumbani mwenu.Ugonjwa utawapata wasio jua nini wanataka maana hufanyi kitu hicho kigizagiza tu. Pincess, hapo hakuna kuzeeka,utakayezeeka ni wewe unayetumikishwa na mikazi na msongo wa mawazo ya mumeo kakawia wapi anakula na nani nk. Maisha ni jinsi unavyoyataka yawe,kupanga ni kuchagua.kama umebahatika una mume basi muwekee kikaango asitamani nje. Na kama huwezi kumlisha ipasavyo tuachie wa hotelini tumkaangaangizie na kumtoa mfuko wote. Chunga chako mama, usichunge wezi usiwajua majina wala sura zao. |
|
| |
Reply by: Anonymous , Date: 2012-07-17 10:07:28 [Report Abuse] |
|
|
 |
| |
|
|
| |
Haaahahaaaaa.. Anony Date: 2012-07-17 10:07:28,.. Umenifanya nicheke mpaka nusu nijikojolee yaani yaonekana wazi una hasira sana na wanawake wenzako walio olewa hivi aliyekuambia nani kama kila mwanaume anayetoka nje ya ndoa yake basi huko nyumbani kuna shida?... ahahaaa...shost yaonekana huijui thamani yako..isee .... wewe kazi kusaidia wenzako nakupa pole na hongera pia maana unamoyo eheheheeee.... wanaume wengine wanapenda tu kuvua chupi ovyo wanawake hata kama kaoa na kuna wanaume wengine wake zao ndani ndiyo wanaume na wanajua sana..... kama wanatoka nje na wao ukute wanawaume wengine wame waweka mji... wewe kama kwako shida kupata mwanaume kuna wanawake wenzako kupata mwanaume kwao wala si shida...... na wala hawana muda wa kukaa roho juu eti atarudi saa ngapi au anafanya nini huko njee.. wewe ndiye utakuwa na tabu ya kukaa kuwaza utampata wapi mume wa mtu upate kumchuna maana kama vile fisi kazi kuzengea ....ahahahahha duh!..... na ukiona wewe unapendwa na wanaume za watu hupati wako ujue kabisa kuna kitu si cha kawaida kaa chini ujichunguze... ushauri usichukie wanawake wenzako chukia hao wanaume waliokutenda wewe vibaya.....pia jirekebishe mwenendo wako utapata tu wako. |
|
| |
Reply by: Anonymous , Date: 2012-07-17 23:57:57 [Report Abuse] |
|
|
 |
| |
|
|
| |
Anonymous , Date: 2012-07-17 10:07:28 nimekuonea huruma sana sababu maisha kama hayo unayoyasema wengi wameshayapitia na iliyobaki kwao sasa ni majuto too late umri umeenda na the are getting minimum attention form the so called mume wa watu. kama ulivyosema waume wa watu wanakuja kwa watu kama nyie kama kibadilisha mboga. kama kweli anakuthamini na unajithamini usingependa kuwa jamvi la wageni kila ajaye basi anajituliza kwako end of the day milages zishapita and your unreparable.tafuta wako ukae utulizane mjenge familia na maisha na upate heshima mjini na usipende kukubali kuitwa cha wote. i tell you you are wasting your time. wengi wenu unakuta walishatendwa na wanaume ndio maana mnaamua kuishi maisha kama hayo but kutendwa na mwanaume should not be the end of the road. Mungu si mjinga kuumba Adam na Eva hata siku moja unless you have hormonial inbalances then utaniambia you dont need a man by your bed side each night hata kama at times things are not okay the fact that he is there its an assurance of confort. sasa wewe huyo mume wa mtu anakuja kwako for few hours then anarudi kwa mkewe unabaki umekumbatia mito. much as you may say uko okay the truth shall remain you are not okay and you will never be ok you wish to have him parmanently as your truly only.PRINCESS |
|
| |
Reply by: Anonymous , Date: 2012-07-18 02:22:58 [Report Abuse] |
|
|
 |
| |
|
|
| |
he he he Anonymous , Date: 2012-07-17 10:07:28 ,mbona una hasira hivyo,nilitegemea kuwa unaenjoy maana wapewa chakula cha restaurant,du kweli nimeamini aziniye na mwanamke ni mpumbavu,so mwanamke aliyezinwi ni mpumbavu pia,malipo hapa hapa duniani nakwambia, |
|
| |
Reply by: Anonymous , Date: 2012-07-18 03:25:57 [Report Abuse] |
|
|
 |
| |
|
|
| |
hahahahaaaaaaa semeni yote mnayoyajua lakini ukweli utabaki palepale tutawaliza tu. Hapo hakuna cha kuwaonea wivu mlioolewa wala hakuna cha hasira kama wengine mlivyosema hapo juu,bali ukweli upo palepale. Hamjiulizi kwa nini wanaume wengine wanaoa wanawake zaidi ya mmoja?wanatafuta nini huko kwa mke wa pili? Mume wa mtu simtafuti mimi anakuja mwenyewe baada ya kukosa matulizo kwa mkewe.Na kwangu huja na burunguti ambalo hata kwa mkewe hatoi.Maisha ni kufaidiana jamani.Endelea kutunza ndoa, sisi wengine tuwatunzie mapenzi.Mnabisha nini mbona mambo yako wazi?Angalieni wakubwa wa nchi na viongozi wenu wengi wanavyohaha kutafuta wa kuwaliwaza huko nje.Huo ni mfumo halisia.Mtuombee kwa Mungu ili atunusuru na hali hiyo pamoja na waume zenu wanaotuzengea tunawakamua hadi wanaishiwa.Hizo laana zenu mnazotema zitawarudia wenyewe. Wahenga walinena "DUA LA KUKU HALIMPATI MWEWE" |
|
| |
Reply by: Anonymous , Date: 2012-07-18 09:40:16 [Report Abuse] |
|
|
 |
| |
|
|
| |
Wewee dada sijui mamaa yaani mwenyewe unaona siifaaa! Wakati wenzako wanachofanya hapa ni kujaribu kukufumbua macho na masikio lakini wewe waonekana sikio la kufa wanachojaribu ni kusaidia kukuelimisha kwa faida yako wewe lakini imekuwa kinyume unaona kama unamkomoa mtu wakati unajikomoa mwenyewe kwa kujitia mikosi kutembea na waume za watu jamani!! wale wanaokutakia mema wewe unawaweka chuki acha hizo tabia za kuwa mwanamke mwenzako adui yako yaani unachofanya hicho unajikomoa mwenyewe na kumpa faida huyo bwana kwa kumsogezea mbele maisha na kumsaidia hiyo mikosi yake anayotoka nayo huko kwa mkewe jamani sijui muelimishwe vipi ili mpate kuelewa mume/mke wa mtu anapokuja kwako nawe ukampokea jua kabisa unajiingiza kwenye mikosi vijana wa sikuhizi wala hawajui kuambiwa hiki kitu mwiko wakakubali watakuambia kizamani matokeo yake ndiyo hayo unakuta mtu anafanya mambo hafanikiwi ni disappointments kwenda mbele kisha anaona kama vile si mwenye bahati kumbe yale matendo atendayo ndiyo yanamsababishia matatizo yote kwa kweli nakuonea huruma utakuja kumbuka shuka kumeshakuchwa wewe kama unatembea na mume wa mtu au umezaa na mume wa mtu kisha ukaona haya yanayosemwa hapa yanakugusa kaa kimya tu najaribu kutake notes ili ujue pa kuanzia kuliko kujifarangua Mh! Hatari yaani uko tayari kabisaa kujitoa mbuzi wa sadaka kisa pesa! jamani wekeni utu wenu mbele yaani jithaminishe mwenyewe kwanza kabla hujathaminishwa wakati mwingine hivi jiulize huyo aliyeolewa hakuwa mwanamke kama wewe? au alikuwaje na sasa yukoje? Ebu jaribu kujiuliza usiweke chuki wakati unajichukia mwenyewe ukizania unachukia mtu.
|
|
| |
Reply by: Anonymous , Date: 2012-07-18 11:53:30 [Report Abuse] |
|
|
 |
| |
|
|
| |
Bibie hapo juu, kama kungekuwa na wake/ waume za watu basi mambo ya talaka yasingekuwepo.kama kweli kuna kuoa na kuolewa talaka zinatoka wapi?Na huo upako huwa unatowekea wapi?msijidanganye kuwa nina mume wakati mnaishi kama vimada tu kwenye hizo ndoa zenu ambazo mahusiano ni ya usiku tu!!. Mwanaume gani huyo anakesha kutafuta mademu nje wakati ana mke wake? Lazima atang'atwa tu!! Mume wa ukweli ni yule aliyetulia ndani maana ameridhika na mapenzi anayopewa na mkewe.kama unapwaya si watakakuzia wenzio? |
|
| |
Reply by: Anonymous , Date: 2012-07-18 16:49:05 [Report Abuse] |
|
|
 |
| |
|
|
| |
Mh! yaani sikujua kumbe kuna watu kazi kusubiria ndoa zivunjike wao ndiyo waingie loh! sishangai kwa ndoa za sikuhizi kuvunjika kumbe kuna watu wanazichochea kwa roho mbaya walizonazo yaani wewe kwa akili zako zote unakaa unawaza ndoa ya nani nzuri ya nani mbaya ivunjike upate ingia wewe loo!h! binaadamu ki fikra wako kweli tofauti unakaa mwanamke kushupalia na kujipa moyo eti ndoa mnazo kaa si salama sasa usalama ni upi kuwa nyumba ndogo? loh~~! wapo watu wako kwenye ndoa zao na raha zao hawa unaowaona hapa wanaokupa hizo changamoto wengi wao wako na raha zao kwenye ndoa zao pole yako wewe kaa na kusema ndoa za wenzako zinamatatizo yaani ndiyo moyo unaojipa kuwa kuna ndoa zenye matatizo weye uwende ziba pengo loo!~~ pole sana sasa kama waweza kujipa moyo huo na kuona ndoa zoote zina matatizo kwanini usijepe moyo wa kuweza tafuta wako maana unaonekana hodari sana na shujaa hasa wakupekua pekua kujua ndoa za wenzako zinaendeleaje sasa ushujaa huo ebu tafuta wako kwanza ndiyo uone haya yanayozungumzwa hapa yana fananaje sipati picha kabisa wewe sijui mwanamke wa aina gani yaani umeshupaa hasa kuwa wanawake wote waliolewa ndoa zao zinamatatizo ingekuwa hivyo basi watu wasingefunga ndoa na usingeona watu kuzeeka na ndoa zao lakini wapo watu wanadunda kwa raha zao na wana amani na upendo ndani ya ndoa zao tabu na shida inakupata wewe usiyekuwa naye na unakerekwa kwa kusema eti watunza ndoa wewe watunza penzi looh~~~! pole sana ninachokuja gundua kwako wewe umekosa wako sasa roho inakuuma na inakupwita hasa ukiona ndoa za watu zina amani kilichobaki unajipa moyo wa sizitaki mbichi hizi huku wagumia kwa kusema eti watu hawana raha kwenye ndoa weye wa nyumba ndogo ndiyo unaraha kwa kutunza penzi loo! hata siamini kama kuna watu wanajichukia wenyewe bila ya kujua looh!~~! usije kunywa sumu tu ukasikia yule shoga yako mnayezengea wote mabwana za watu kapata wake sijui utaenda kumuharibia maana yaonekana unaroho ya kwanini wewee pole yako tafuta wako bibi hata kama yanakuchoma sote tunajua ukweli unauma
|
|
| |
Reply by: Anonymous , Date: 2012-07-18 22:34:03 [Report Abuse] |
|
|
 |
| |
|
|
| |
mhh wewe mwizi wa waume wa watu,hata usemeje,bado mwisho wako utakuwa majuto,sijawahi ona mtu akafurahia upumbavu huu,nina ushahidi mwingi sana wa nyumba ndogo,mwisho wake ni majuto,kwa kifupi we jiite MALAYA. |
|
| |
Reply by: Anonymous , Date: 2012-07-19 02:15:36 [Report Abuse] |
|
|
 |
| |
|
|
| |
mh hana lolote huyo anaishia kupika tu na kukata viuno kama feni na kuhaingaika kwa waganga kupata dawa za kuiba hao waume za watu!! mweee kwa usawa huu mume gani wa mtu anahonga nje??? hehehe hata kiwanja muulize hyo mdada mwizi kama anacho?? ataishia kugawa kama pipi tu!! sio tunalala nazo tunaamka nazo watoto wetu wanasomeshwa tunaenda wote kote maharusini, mashopn kila mahali tunajiachia!! sio wewe jamvi la wageni, umegeuka cd player inacheza kida deki!!!! unanuka kwanza hebu tupishe mwanamke gani unamwagiwa shahawa za kila rangi kila siku bado unajiita mwanamke???? tupishe sio na ndoa zetu tunajua maana ya mume!!! aliekuambia eti mwanaume akitoka nje ndan kuna shida, eti hajaacha matumizi ohoo sjui nn MNAJIDANGANYA SANA!! NA MTAZEEKA NA MITIZAMO YENU DUNI NA ROHO ZA PAKA! Wanaume ndio nature zao kupenda kudadisi dadisi hata akiwa kaoa anataka aonje labda mwanamke leo mfupi, kesho mwembamba, kesho mweupe, kesho mweusi. ndivyo walivyo kama watoto na wanawake tunaelewa hilo!!! lakini ndani full heshima kwa mke wake, na maghorofa tunajenga hela tunaenda nazo site sisi huku watoto wakilipiwa academy!! mtajibeba nyie mnaojirahisisha kwa waume zetu mnatiwa guest haraka haraka kama vinyago hahahahahahahahah poleni!!! guest zote za dar mnazijua!!! hahahaha sie tunatiwa kwa heshima bibi, tena na mazawadi juuu!!! kama ni kodi za nyumba, vyakula, watoto kila kitu kinafanywa msfikiri eti tuna shida! wenye shida ni nyie ya kuhangaika kwa waganga kupata chambo za kunasa waume zetu!!! Hamtutishi kwanza mkizeeka tu mnapotezewa wakati sio tupo na tutaendelea kuwepo full heshima! |
|
| |
Reply by: Anonymous , Date: 2012-07-19 07:17:52 [Report Abuse] |
|
|
 |
| |
|
|
| |
hadi nakosea yan kaniboa kweli uyu dada! amegeuka de player/deki anacheza kila cd hahahahahaha atajibeba sio tukiamka na ..... za waume zetu hadi asubuhi bibi tunawatafutia hadi underwear kabatini asubuhi kwa raha zetu!!! sio wewe paka mwizi unaevizia kuvifua hahah kuziloweka na iliki kama mchawi inahusu?????? TAFUTA WAKO BIBI!! UMRI UMEENDA KWANZA K ISHAKUSHUKA UPO TU HUNA HAYA!!!! |
|
| |
Reply by: Anonymous , Date: 2012-07-19 07:40:42 [Report Abuse] |
|
|
 |
| |
|
|
| |
Hasira za mkisi furaha ya kunguru!! Jisifieni tu na wanaume zenu.Kama ungejua niko vipi na nina nini usingejisifia hivyo wewe ann wa hapo juu.Na bahati nzuri sijachukua mume wako. Raha iko ndani ya uamuzi wako haitegemei mtu mwingine akupe raha. Nashukuru kwamba umekubali kwamba wanaume ni silka yao kuonja vingi virefu, vifupi,vyembamba na vinene.kama umejua hilo unabisha nini sasa?unadhani hivyo wanavyotaka kuvijua watavipata kwa akina nani?Kukamuliwa shahawa za huyu na yule hakuna shida mradi shahawa ni shahawa hata kama ni za mtu mmoja tu ni shahawa zilezile. Hao waume zenu wanatafuta nini kwenye mageto yetu kama kweli wameoa wanawake wanaoeleweka??Hakuna mahali tumewafuata bali huja wenyewe huku wakiwakandia kuwa hamuwezi kitu huko majumbani kwenu. |
|
| |
Reply by: Anonymous , Date: 2012-07-19 09:55:25 [Report Abuse] |
|
|
 |
| |
|
|
| |
Jamani naona watu hawakujua kumbe wanaongea na gogo yaani mtu alikwisha jikatia tamaa ya maisha na aliyeshindikana na amekubuhu wanaHY wala msimjibu tena mchunieni maana hapa kumbe yeye kageuza sehemu ya kutolea donge lake anajutia aliuchezea vibaya uanamke wake shost tumekushitukia wala hutupati tena ng'oo kaa nalo hilo limekuganda ahahaha unalo hiloooo!!. |
|
| |
Reply by: Anonymous , Date: 2012-07-19 10:28:03 [Report Abuse] |
|
|
 |
| |
|
|
| |
Maskini wangu anatiaje huruma??! Kweli dada wa juu umenena uyu kashajikatia tamaa ya maisha tumuache ahangaike na waume za watu! Sasa wee dada unafkiri mwanaume atakuvuaje hyo chupi yako inayonuka kabla hajakusifia na kumponda mkewe maana anajua ushaona pete yake ya ndoa kidoleni?? Bibi lazima usifiwe ili uchanue vizuri pole yako!!! Akienda kwa mkewe unaitwa shetani umempitia hahahahahahahah poor u! Unashusha utu wako kisa hela maskiniiii! Halafu Mungu bwana mkubwa sana hela za umalaya hua hazifanyi jambo hata moja la maendeleo!!! Tena wala huzipati basi wanaume hawatoi sent tano nje labda hayo magari bila kadi mnayonyang'anywa kila kukicha!! Kadi zipo kabatini kwetu! Mtajibeba mbona zungushen hzo k bure sie tunatunzwa ndani kama paka vile hahaha raha sana! |
|
| |
Reply by: Anonymous , Date: 2012-07-19 14:37:02 [Report Abuse] |
|
|
 |
| |
|
|
| |
Tena ngoja nimalizie huo wizi wako ni matter of tym tu ukigonga 45 tutaona kama kuna mume wa mtu atakusemesha!! Nyie ndo mnaishiaga kua masugar mami ya mjini mnaotuharbia watoto wetu wa kiume! Hahahah maana mnabaki mbele hakuchez nyuma hakutingishiki mshachakazwa kila idara magubegube ya mjini! Hahahaha halo! Mnabaki kukodolea watoto sasa maana waume zetu sa izo washawapuuzia tuko nao beneti kutembelea watoto maulaya uko na wajukuu! Nyie mnazeeka ndani mnaongea na ukuta maana unaweza fia ndani coz huna hata mtu wa kukupa panadol! Shtuka bibi kama ulitendwa na mmoja coz najua hlo ndo tatizo lako usikariri kua wanaume wote wabaya! Tengeneza maisha yako tafakari wapi ulikosea then jipange upya sio kumalzia hasira zako kwa wanawake wenzio! Kwan sisi ndo tulikutenda????! TAFAKARI CHUKUA HATUA! |
|
| |
Reply by: Anonymous , Date: 2012-07-19 15:28:19 [Report Abuse] |
|
|
 |
| |
|
|
| |
Hahaha kwa maneno nliyokupasulia hapo juu kama kuna mume wa mtu alkuahidi kitu akakutia kweupeee bibi chupi mkononi nimekuchomaje!! Maana nimekutonesha kidonda haha ushaliwa halafu mtu kaanza hadithi hahahahahah kumbe sie tunaezeka ghorofa! Maskiniiii kuna rafki yangu aliliaga kwa hayahaya kaona mke wa mtu kanunuliwa gari la pili la maana tena limegizwa nje wkati yye baiskeli hana! Hana hamu na waume za watu mie namenyoigi tu sina urafki wa maana na punguani atakaye maisha ya bahati nasibu kutoka kwa wanaume! |
|
| |
Reply by: Anonymous , Date: 2012-07-19 15:29:20 [Report Abuse] |
|
|
 |
| |
|
|
| |
Bibie kwani sasa natengeneza maisha ya nani ni ya kwangu.Unajua mnajisifia bure tu, hao waume zenu wanakuja kwetu kwa adhabu kubwa, na heshima yote na wanakuja wamejiandaa kwa burunguti kubwa.Usidhani mm ni sawa na changu wa makaburini au kwenye maclub. Kama ni ghorofa na magari nilishayapata longi sana. Mimi si mtu wa kupewa vihela vya kununulia mboga. Lakini sidhani kama nahitaji kuendelea kuzuga nanyi maana imeishakula kwenu.Ukweli wa mambo naujua mimi, hata kama mtu anaona kanipasha nadhani mnalia kwa hasira za kuchukuliwa waume zenu ambao mmeshindwa kuwapa wanavyovitaka mnaishia kulalamika tu. Mume wa ukweli hahangaiki kwenda huko nje kama anashibishwa ndani. Kama mwanaume wako anazurura huko nje ujue huna mume hata kama anakujali anakutunza lakini anakuzuga tu ili usimshtukie. Tutabanana hapo hapo. Ninyi mtangoja kula za mishahara yao, sisi tutakula zote za na overtime PDM na na za kujikimu zote. Punguzeni hasira zenu mtapasuka bure na ukweli utabaki palepale. |
|
| |
Reply by: Anonymous , Date: 2012-07-20 11:48:31 [Report Abuse] |
|
|
 |
| |
|
|
| |
Wewe ndiyo upunguze jazba na hasira za kutopata wako kwanza yaonekana unajisifia uongo mtupu huna lolote yameshakuganda hayo unabaki kujipa masifa si yako maana huna hata haya mume si wako kazi kujipa vyeo si vyako wewe umeshapewa shua yako kaa chini utafakari jipange upya nenda zako katulie huko mwenzako anaweka jeuri afukuzwi ndani wewe weka jeuri uone kama kesho atakuja tena umebakia kuwa mtabiri wa ndoa za wenzako na kuzitakia mabaya kwa choyo chako na ndiyo maana humpati wako. |
|
| |
Reply by: Anonymous , Date: 2012-07-20 21:51:24 [Report Abuse] |
|
|
 |
| |
|
|
| |
This Anonymous , Date: 2012-07-20 11:48:31 She must be Ms KUNDA. |
|
| |
Reply by: Anonymous , Date: 2012-07-21 02:03:01 [Report Abuse] |
|
|
 |
| |
|
|
| |
Kateni mikia ya waume zenu ili wasiende nje,mbona mnamlalamikia na kumtusi sana huyo dada? na wakati yeye amechagua hiyo ndio njia ya kupata riziki yake?Kama wewe una mume inakusumbua nini? Pilipili usioila yakuwashani?mwachie mwenzenu atayajua mwenyewe na wala hamna haja ya kumtapikia yote hayo. |
|
| |
Reply by: Anonymous , Date: 2012-07-21 11:37:44 [Report Abuse] |
|
|
 |
| |
|
|
| |
Wewe Anony 2012-07-21 11:37:44 ,Sijui mmoja wao hujui hata unachotetea aliyeanza kutoa matusi na kashfa hapa ni huyo dada anayependa waume za watu ndiye aliyeanza kutoa maneno machafu anza kusoma kuanzia huko juu ndiyo utajua ni nani alieanzisha maneno machafu siyo unadandia trein kwa mbele. |
|
| |
Reply by: Anonymous , Date: 2012-07-21 23:35:52 [Report Abuse] |
|
|
 |
| |
|
|
| |
na bado mtaumwa sana nyumba ndogo makes world go round. hao waume zenu kutwa kuhangaika na kina sie, utasikia mume wa mtu anakwambia nitafutie na mimi mwanamke anafanana na wewe kwani nyie wake zao mnafananaje lakini? halafu anavyokusumbua sasa umtafutie demu mkali hadi unashangaa kaoa ili iweje, acheni tuwachune hadi mpate uchizi. najua roho zinawauma sana mtashaaaa,kwani hamjui wanawake ni wengi duniani? au mnataka tusagane. vumilieni mtazoea. |
|
| |
Reply by: Anonymous , Date: 2012-07-25 08:08:33 [Report Abuse] |
|
|
 |
| |
|
|
| |
Hahahahahaaaa Ann wa hapo juu umenisaidia sana kuwapasha hao waliokuwa wananivurumishia hasira. Na niliwaambia "hasira za mkisi furaha ya kunguru" Mtanyang'anwa sana kama bado mnalialia badala ya kujiuliza kwa nini mumeo anachoropokea nje. Narudia tena kusema " Tunzeni ndoa zenu, sisi wa nje tutawasaidia kuwatunzia mapenzi ambayo hamuyawezi kuwapa waume zenu. Ndoa zilikuwa za zamani mnaolewa miaka hii mnaigiza tu. |
|
| |
Reply by: Anonymous , Date: 2012-07-25 11:50:41 [Report Abuse] |
|
|
 |
| |
|
|
| |
jamani mbona unapotosha jamii hasira ya mkizi furaha ya mvuvi!! au methali nyingine vita vya panzi furaha ya kunguru!! usichanganye mambo bwana!! au ndo unachanganya wanaume wa watu hadi na kiswahili pia?? upeo wako mdogo tumeshakusoma ndo maana tumekupotezea!! |
|
| |
Reply by: Anonymous , Date: 2012-07-26 06:20:24 [Report Abuse] |
|
|
 |
| |
|
|
| |
Anonymous , Date: 2012-07-26 06:20:24 Nimekupendaje hahahahahahaha mbavu zangu mie. Nimecheka hadi mbavu zimeuma. |
|
| |
Reply by: Anonymous , Date: 2012-07-26 09:33:46 [Report Abuse] |
|
|
 |
| |
|
|
| |
Asante kwa kunisahihisha mdau,kiswahili kinaniendea kombo maana nimechanganya wanaume zenu hadi nawatolea hata methali mchanganyiko. Nashukuru kwamba umenielewa nilimaanisha nini. |
|
| |
Reply by: Anonymous , Date: 2012-07-26 10:25:55 [Report Abuse] |
|
|
 |
| |
|
|
| |
Jamani huyu dada msimjibu mwacheni maana yaonekana waume za watu wamemchanganya akili kwa kumchakachua na kumuacha sasa ana hasira nao ndiyo maana maneno yanamtoka mwacheni ajimalize humu ndani na mashostito wenzake wanamchuza wakija pata na wao wa kwao watamuweka mbali haya dada uwanja wako jimalize tu siye tukusome si unajua ukikimbizana na mgonjwa wa akili nawe pia utaonekana the same. |
|
| |
Reply by: Anonymous , Date: 2012-07-26 21:07:28 [Report Abuse] |
|
|
 |
| |
|
|
| |
Well said wa hapo juu! |
|
| |
Reply by: Anonymous , Date: 2012-07-27 13:14:55 [Report Abuse] |
|
|
 |
| |
|
|
| |
PAMOJA NA YOTE HUYU DADA MNAEMSHAMBULIA HUMU TUKUBALI KUWA KUNA MAMBO MENGI TU YENYE UKWELI MZITO AMEYASEMA HUMU NA HUENDA WENGI WETU YAMETUCHOMA KWENYE MAKOVU. YEYE NA NYIE WOTE MKO KUNDI MOJA (VIBARAKA WA WANAUME). UWE WA NDOA AU WA NJE KAZI YENU NI MOJA JAPO WA NDOA ANA KAZI ZAIDI ILA ZINAPOOZWA KWA NENO HESHIMA. POLENI WOTE. MIMI SINA NDOA, MPENZI WALA MUME WA MTU KWA KUOGOPA MAMBO HAYA HAYA MLIYOYATAJA HUKU. NAJIHUDUMIA MWENYEWE KWA KAROTI, NDIZI AU TANGO. POLE KWANGU PIA LAKINI NIKO MBALI SANA NA UKIMWI, BP, ULCERS, DEPRESSION, NGEU, MIMBA ZISIZOTARAJIWA N.K fyatu |
|
| |
Reply by: Anonymous , Date: 2012-07-31 14:45:57 [Report Abuse] |
|
|
 |
| |
|
|
| |
hahahahahahah sjui mama yako angejihudumia kwa hizo karoti na matango kama wewe ungekuwepo leo duniani na humu HY. Kua strong bidada na jiamini yote yanawezekana kwa MUNGU. Usikate tamaa kwani wewe uko perfect hadi upate mwnaume perfect??? ndo maana mapenzi/ndoa yanatakiwa upate mtu SUPPLEMENTARY sio COMPLIMENTARY!! Huhitaji kuoa au kuolewa ili ukamilishwe bali kwa pamoja mshee differences zenu na strength and weaknesses ili kua na common goal! Mkikutana wote mko perfect nani atamuelimisha, atamkosoa, atamsaidia, atamjali mwenzie wakati kila kitu wote mnavyo?? |
|
| |
Reply by: Anonymous , Date: 2012-08-01 02:32:12 [Report Abuse] |
|
|
 |
| |
|
|
| |
nimechanganya kidogo si unajua lugha za wenzetu LOOK FOR SOMEONE COMPLIMENTARY NOT SUPPLEMENTARY! Huo ni ushauri wa oprah to all ladies out there! |
|
| |
Reply by: Anonymous , Date: 2012-08-01 02:45:45 [Report Abuse] |
|
|
 |
| |
|
|
| |
Wewe Ann wa 2012-07-31 14:45:57 nimekupendajeeee!! yaani umesema sawa kabisa.Wengi humu wamemponda huyo dada kama vile wanaishi mbingu nyingine. Wanaume gani utawatetea humu, na wanawake gani uwatetee humu? maisha ni mzunguko sana, hivyo watu kumegeana panapowezekana. Wenye ndoa tunzeni ndoa na maurithi, lakini mapenzi wako wa kuwasaidia .hapa hamna mjadala upende usipende mume kama hashibi kwako atashibishwa na wa huko nje.Na kuna waume zenu wengine wanashiba ndani, lakini mchana wanakula hotelini.hata mumtukane huyo mdada au wadada wanaochukua waume zenu mnapoteza muda kwanza hammujui,ni afadhali mnyamaze tu.najua yamewauma mnaochukuliwa waume zenu,jifungeni vibwebwe.Mnaweza kumzuia ndege kujenga kiota juu yako,lakini kupita juu ya kichwa chako huwezi kumzuia. Mtalia na kuomboleza mtachoka!! |
|
| |
Reply by: Anonymous , Date: 2012-08-01 13:15:16 [Report Abuse] |
|
|
 |
| |
|
|
| |
so what? idiot! |
|
| |
Reply by: Anonymous , Date: 2012-08-02 08:11:32 [Report Abuse] |
|
|
 |
| |
|
|
| |
ukweli mchungu jamaniiiiii...... habari ndo hiyo idiot! but this applies even to men who do not make their wives come. Desperate wives will go for anything that comes near them- a brother in law, a neighbour, a work mate, a houseboy, or any man who promises some affection; someone who makes them come. Hapa wanawake hasa wenye waume na bfs mmewaka ila ya kwenu hamyasemi. wanafiki wakubwa nyie!! |
|
| |
Reply by: Anonymous , Date: 2012-08-02 11:39:32 [Report Abuse] |
|
|
 |
| |
|
|
| |
Yaani ni hivyohivyo hata kwa wanawake mbona wana wanaume wa watu huko nje na huku wana waume zao pia na kusaka waume za watu wengine. makali yako kotekote jamani tulieni tu mlee ndoa zenu mengine hayo yaweke kwenye mabano period. |
|
| |
Reply by: Anonymous , Date: 2012-08-02 14:34:30 [Report Abuse] |
|
|
 |
| |
|
|
| |
nyie wezi tuuu na mtabaki kua wezi! nchi nyingine mnyongwa kabisa au kumwagiwa tindikali usoni mkome!! cha mtu sumu ati iwe mume au mke asie mkeo TUTULIE JAMANI FUNGENI VIBUBU VYENU!! |
|
| |
Reply by: Anonymous , Date: 2012-08-03 06:19:43 [Report Abuse] |
|
|
 |
| |
|
|
| |
of all the things nashangaaga maishani mwangu ni msichana kuendelea na uhusiano wa kimapenzi na mwnaume ambaye ulkua nae na akaoa mtu mwingine mkiwa wote!!! how can gals be that low???? that cheap jamani? kama maharage ya mbeya! yan me afadhali hata hao wanaokutana na waume za watu wakiwa washaoa wanajua hapo ni kuliwazana mioyo na kuibiana fedha basi bora mara mie tano lakn sie mtu kashakuona hufai kaoa bado anakuambia "unajua nakupenda sana?" na wewe kwa ujinga wako akili finyu unavua chupi! kama anakupenda sio angekuoa wewe sasa mshakaa hata five yrs bado kakuona mavi what a fuck! GALS TUNACHEZEWA SANA NA HAWA WANAUME HALAFU TULIVO WAJINGA TUNATAMBIANA WENYEWE KWA WENYEWE WAO WNATUCHEKA WANAENDELEA KUTUFAIDI TU AIBUUUUUU! HUO UKOMBOZI WA MWANAMKE SIJUI UTAKUJA LINI KWA HALI HII?? TUTAENDA BEIJING, MAREKANI HATA SAYARI ZINGINE LAKN HATUTAFANIKIWA KAMA HATUBADILIKI NA KUJUA THAMANI ZETU KAMA WANAWAKE!! |
|
| |
Reply by: Anonymous , Date: 2012-08-03 06:23:04 [Report Abuse] |
|
|
 |
| |
|
|
| |
Wee Ann wa hapo juu, inakuhusu nini kama huyo mdada anaendelea kuhusiana na mtu wake tangu huko nyuma? Suala la kuolewa naye halijalishi kwani kuoa na kuwa wapenzi ni vitu viwili tofauti kabisa. Kwa hiyo kama hao wanaendelea na uhusiano na huku kaoa mwingione haina tatizo mradi wamekubaliana hivyo.Usishangae ya mwenzio wakati ya kwako yanatishaaaaaaaa!! |
|
| |
Reply by: Anonymous , Date: 2012-08-05 16:02:47 [Report Abuse] |
|
|
 |
| |
|
|
| |
Mimi nilimfumania mume wangu na mdada fulani ambaye wanatoka kijiji kimoja huko kwao alikuja hapa mjini kutoka mkoa mwqingine.Niliyemvaa ni mume wangu, huyo mdada wala sikuhangaika naye maana na yeye anatafuta liziki yake.Huyu mume wangu ndiye nilimpa kibano hadi akanyanyua mikono juu. Utahangaikaje na mtu asiyekuhusu wakati anayekuhusu yupo?Na ndiye uliyewekeana na ahadi ya uaminifu. Ukiukata mti matawi ili ukauke utajisumbua bure.Wewe kata mizizi ndio utaweza.Ukimkomalia mdada anayetembea na mumeo atamwacha huyo ataanzana na mwiongine usiyemjua mbona utajinyonga.Deal na huyo wa nyumbani mwako.Mume wangu hadi leo haamini kama kweli ni mimi nilimfungia ngumi na kumpa kipigo.Ameshika dahabu. |
|
| |
Reply by: Anonymous , Date: 2012-08-05 16:05:27 [Report Abuse] |
|
|
 |
| |
|
|
| |
Hivi jamani tuseme ukweli sijui niseme naona mko wavivu kusoma hizo comment toka mwanzo au?....maana huyo dada ndiye aliyekuwa ametoa maneno ya kashfa kwa wake za watu na ndiyo wakamjibu iweje ibadilike topic kuonyesha wake za watu ndiyo wameshambulia? ...mh! jamani kweli ndoa za sikuhizi zinamajaribu mengi wake za watu na waume za watu yanatakiwa kuwa na moyo kweli maana ndoa zimejengewa chuki .... tubadilike jamani tujifunze kubeba kweli na ndiyo tutajua kujirekebisha. |
|
| |
Reply by: Anonymous , Date: 2012-08-06 07:06:21 [Report Abuse] |
|
|
 |
| |
|
|
| |
Wewe ann wa hapo juu ndio uko mvivu kuelewa, soma vizuri maada inauliza nini hasa? Hizo comments za mashambulizi zimetokana na watu wenye hasira na mdada mbaye anavamia waume za watu,lakini maada inauliza ni vipi mtu ushupalie kumsaka mwizi wa mume badala ya kumshupalia mumeo wa ndani nayekutoroka na kwenda kula nje? Soma na elewa maada, ndio utajua nini kinatakiwa kushughulikiwa na siyo wachangiaji kwani wao wanakuwa na hasira na yanayojiri kwenye maeneo yao. |
|
| |
Reply by: Anonymous , Date: 2012-08-06 10:16:42 [Report Abuse] |
|
|
 |
| |
|
|
| |
ONGEENI YOTE LAKINI MWISHO WA SIKU FAINALI UZEENI. HAO MAGUBEGUBE UZEENI WATAKUA HATA HIZO SHEPU ZA KUCHUNA MUME WA MTU HAWANA..SIJUI WATACHUNA MITI???? WAKATI HUO SIE TUNATUNZA WAJUKUU NA WAUME ZETU! HAPO NDO WATAISOMA NAMBA!!! AHAHAHAHA WANGEJUA MUMU WA MTU HUYO HUYO ANAEMTOROKA MKE WAKE KUKUFATA WEWE HATAKUFATA KESHO MAANA MABINTI WAPYA WABICHIII WANAZALIWA. NYIE MTABAKI TU MAKAHABA YA MJINI YAMEJIZEEKA BILA MUME WALA MJUKUU MWISHO MUANZE KUSAGANA NDO HATIMA YENU HUWA. TATIZO MNAASSUME KUA MNABAKI WASICHANA FOREVER HAHAHAHA KUMBE MNACHUJA TENA KWA KASI YA AJABU.. HZO SHAHAWA MNAZOMWAGIWA MNAKONGOROKAJEEE. HEBU TUPISHENI NA NDOA ZETU MSITULETEE SHOMBO!! PANDENI JUU MKAZIBE! |
|
| |
Reply by: Anonymous , Date: 2012-08-10 07:17:08 [Report Abuse] |
|
|
 |
| |
|
|
| |
Hahahahaaaaa Ann hapo juu yamekufika unajibaraguza tu!! umeshindwa kutunza mume na kumpa vitamu umeanza kukebehi wenzio wanaojua mambo?Kuzeeka hata wewe utazeeka tu hata ulee vijikuu. Unadhani kuna mtu huwa anakomalia kazi moja tu?Kila jambo lina mwisho wake hivyo mtu anahitaji kujiandaa mapema kukiwa bado kungali mchana.usidhani kuwa wanaowachukulia waume zenu ni watu baki tu, ni watu na kazi zao za maana sana.Na wako vizuri, waume zenu ndo wanaowababaikia kila kukicha.Soma lama za nyakati usibaki mtu wa kubweteka tu kwa eti umeolewa.Sawa umeolewa kazi yako ni kutunza ndoa, lakini mapenzi wakutunzie wenzio, wewe ukibaki kuuguza vidonda vya tumbo kisa eti hanipi penzi, anachelewa kurudi nyumbani, hahahahaa itakuwa inakula kwako hadi ukonde. |
|
| |
Reply by: Anonymous , Date: 2012-08-10 10:09:27 [Report Abuse] |
|
|
 |
| |
|
|
| |
Mh! wee annoy hapo juu naye umechemsha! hivi kuna mwanamke anayependa kuchangia bwana? kama si umekosa wako ni nini?,,maana wajisifia sana si utafute wako basi..kazi wasubiria mume wa mtu yaliyemshinda kwa mkewe wewe ndiyo unabakia kujihangaisha kwa makaangizo na kujitapa naye wanawake wa sikuhizi mko rahisi
!!.. pole yako! .... hongera kwa kupeleka maji bafuni kwa hiriki.. lakini yapendeza ungempata wako....siyo gume gume yaliyomshinda kwa mkewe ..hongera tena endelea kujipa maubwabwa kwa kulea mume wa mwanamke mwenzako... |
|
| |
Reply by: Anonymous , Date: 2012-08-11 11:49:16 [Report Abuse] |
|
|
 |
| |
|
|
| |
hahahah eti unajua mambo?? kalagha bao!! ungekua unajua mambo ukngekuwa na wa kwako shosti!! limekuganda hilo nakuambia panda ukazibe tu kiraka cha kaniki weye hahahahah! |
|
| |
Reply by: Anonymous , Date: 2012-08-13 08:23:52 [Report Abuse] |
|
|
 |
| |
|
|
| |
Hao wnaume za watu wanakutomba wanakuacha wanapasiana mipira tu hahah mambo gani unayoyajua wewe hahahahahah labda ukaroge kwenu ukatambike!!! inaumaaaaaaa poleeeeeeeeeeeee |
|
| |
Reply by: Anonymous , Date: 2012-08-13 08:26:37 [Report Abuse] |
|
|
 |
| |
|
|
| |
Ann hapo juu huko kutombwa ndiko ninakokutafuta, na wala sitafuti pesa zao,mimi nina uwezo wa kuwapa pesa hizo ili mradi nimepata kitombi. |
|
| |
Reply by: Anonymous , Date: 2012-08-15 10:24:48 [Report Abuse] |
|
|
 |
| |
|
|
| |
Huna lolote umeshachezea ujana wako unajikanyaga tu hapa mara nawachuna waume zenu marungutu mara nataka kutombwa tu nawapa pesa mimi!?? Soma comments zako juu uone ulivyopoteza mwelekeo wa maisha umebaki jina tu aibu tu pole sana! Tuliza kitenesi upate wako yashakushinda bibi!! |
|
| |
Reply by: Anonymous , Date: 2012-08-17 10:49:43 [Report Abuse] |
|
|
 |
| |
|
|
| |
nakuonea huruma sana FYATU. Running away from a problem does not help to solve it! kama mama yako angejikamua na hayo matango sijui na karoti leo hii wewe usingekuwepo duniani! Hilo ni poozeo la muda tu lakni utarudi tu kwenye game kupambana na wanaume.... chondechonde tu usiishie kwenye ulesbian maana ndo kituo cha njia unayoelekea! |
|
| |
Reply by: Anonymous , Date: 2012-08-24 04:34:04 [Report Abuse] |
|
|
 |
| |
|
|
| |
credit cards :]]] car insurance wdbsre |
|
| |
Reply by: Anonymous , Date: 2012-10-25 13:45:01 [Report Abuse] |
|
|
 |
| |
|
|
| |
auto insurance iwn credit cards hujma |
|
| |
Reply by: Anonymous , Date: 2012-10-27 10:48:44 [Report Abuse] |
|
|
 |
| |
|
|
| |
online auto insurance quotes 0597 car insurance quotes yhgixi |
|
| |
Reply by: Anonymous , Date: 2012-11-02 13:44:09 [Report Abuse] |
|
|
 |
| |
|
|
| |
car insurance online >:((( car insurance quotes 688757 |
|
| |
Reply by: Anonymous , Date: 2012-11-04 04:54:36 [Report Abuse] |
|
|
 |
| |
|
|
| |
life insurance :]] cheap car insurance 1797 |
|
| |
Reply by: Anonymous , Date: 2012-11-11 08:44:37 [Report Abuse] |
|
|
 |
| |
|
|
| |
carinsurance 333 car insurance 47367 buy viagra xzryvr carinsurance =-O inexpensive car insurance 146514 online viagra pkvc |
|
| |
Reply by: Anonymous , Date: 2013-04-18 15:11:38 [Report Abuse] |
|
|
 |
| |
|
|
| |
Precios baratos de Cialis =-] levitra >:-] car insurance quotes ibbr free car insurance quotes 5732 car insurance quotes zkngj car insurance quotes california %-O get car insurance quotes 93381 |
|
| |
Reply by: Anonymous , Date: 2013-04-18 15:11:39 [Report Abuse] |
|
|
 |
| |
|
|
| |
Descuento en cialis evf price of cialis =PPP carinsurance 506519 free car insurance quotes %-[[ cialis 017039 auto insurance 96663 |
|
| |
Reply by: Anonymous , Date: 2013-04-20 19:19:08 [Report Abuse] |
|
|
 |
| |
|
|
| |
viagra %-PPP Cialis barata cialis jea car insurance quotes 99266 online auto insurance 39626 car insurance quotes >:OO auto insurance quotes >:-[[ viagra =-[[[ |
|
| |
Reply by: Anonymous , Date: 2013-04-30 02:19:15 [Report Abuse] |
|
|
 |
| |
|
|
| |
tjkvat pay day loan kMbTBu payday loan 3345 payday loan Alberta kUqTrq same day loan 5212 |
|
| |
Reply by: Anonymous , Date: 2013-05-01 16:29:31 [Report Abuse] |
|
|
 |
| |
|
|
| |
iioyub payday loans 1653 payday loans wiIQe payday Canada QKMHY Payday UK >:]] |
|
| |
Reply by: Anonymous , Date: 2013-05-02 16:46:27 [Report Abuse] |
|
|
 |
| |
|
|
| |
auto insurance =O Cialis online 903 levitra =-(( cheap car insurance >:-) cialis ejt car insurance qoutes ptrq cheap car insurance 544736 |
|
| |
Reply by: Anonymous , Date: 2013-05-06 03:21:09 [Report Abuse] |
|
|
 |
| |
|
|
| |
cialis 494347 cheap car insurance 9827 levitra 7417 a auto insurance guy cheap california auto insurance 8-] |
|
| |
Reply by: Anonymous , Date: 2013-05-06 03:21:09 [Report Abuse] |
|
|
 |
| |
|
|
| |
viagra mluu levitra and viagra 1221 online auto insurance 431448 buy auto insurance online 736274 car insureance oteyw |
|
| |
Reply by: Anonymous , Date: 2013-05-08 10:53:05 [Report Abuse] |
|
|
 |
| |
|
|
| |
cialis 7264 buy viagra 776845 car insurance wbe cheap auto insurance >:-D online car insurance >:OOO |
|
| |
Reply by: Anonymous , Date: 2013-05-10 14:57:49 [Report Abuse] |
|
|
 |
| |
|
|
| |
insurance auto auctions 1799 buy viagra in usa abmv viagra 9784 cialis levitra vs %-PP new york car insurance :OOO car insurance quotes 72163 cheap auto insurance qylajo |
|
| |
Reply by: Anonymous , Date: 2013-05-15 11:11:59 [Report Abuse] |
|
|
 |
| |
|
|
| |
cost of viagra wormpx Chicago auto insurance quotes %-))) auto insurance quotes :-PP online colleges gip Newark car insurance quotes 622530 car insureance 6667 insurance auto auctions >:[[[ |
|
| |
Reply by: Anonymous , Date: 2013-05-24 18:10:36 [Report Abuse] |
|
|
 |
| |
|
|
| |
msmogrit cash advance EGjAWd payday loan Canada CoLOuw same day loan KIoLf |
|
| |
Reply by: Anonymous , Date: 2013-05-25 02:45:01 [Report Abuse] |
|
|
 |
|
|
| <<Back to Topics<< >> Reply to this message>><<EMAIL ME FOR NEW POST << |