Home
About Us
Photo Gallery
Home
Planner
Planner
 
  TOPIC: Mzazi mwenzangu ajirudi baada ya mtoto kuzaliwa

 

Ninaomba muniwekee swali langu mnisaidie ushauri. NInaitwa Mwajabu nilikuwa na mpenzi kwa miaka mi 3 anilipopata uajauzito mpenzi huyo alinikataa na mimba yangu akinishurutisha kutoa nikakataa na nikaamua kuzaa na kulea mwenywe. sasa mtoto ana miezi 7 baada yameanza kurudi na kuleta matunzo ya mtoto na sasa ameanza kurudisha uhusiano kwa kusingizio cha kuwa ni vizuri mtoto amzoee na kumjua kuwa yeye ndio baba yake lakini hayo hayaishii kwa mtoto tu kwani saas anaanza kunicontrol na mimi na kutaka turudie kuwa na mapenzi na kuongeza speed ya kuleta ndugu wanifahamu na kuwatambulisha ndo wifi na shemeji na mkazamwana. nifanyaje nijue kama anani nia nzuri au ananichota anitende tena
  Topic by:naymatun@gmail.com Date: 2012-07-13   
       
  E-MAIL ME FOR NEW POST    
     
  Huyo hana nia nzuri,atampendaje mtoto ambaye mimba alitaka muitoe jamani?ila wewe ndo unamjua vizuri kama unampenda sawa,ila kwa upande wangu naona sio mtu mzuri wala.  
  Reply by: Anonymous , Date: 2012-07-13 03:27:57 [Report Abuse]    
     
  Kibane usimpe tena mwambie kama ana nia mfunge ndoa ukiona anakataa jua anataka tu atambuliwe kuwa baba wa mtoto baadae asepe zake.  
  Reply by: Anonymous , Date: 2012-07-13 10:45:53 [Report Abuse]    
     
  Dada angalia,nyota njema huonekana alfajiri na si vinginevyo!  
  Reply by: Anonymous , Date: 2012-07-16 04:14:05 [Report Abuse]    
     
  Mwajabu Kwanza nakupongeza kwa kukataa kutoa mimba, pili nampongeza huyo mzazi mwezio kwa kujirudi na kuonyesha upendo kwa mtoto na kwako. Nikuulize mwajabu hivi ulitarajia kumnyima mtoto huyo babamtoto kwa vipi? Unafikiri akikua hawezi msaka babake?, hebu rudisha moyo kama mwenzio alivyojirudi mtoto keshakuja duniani, mwenzio akili imemzinduka kuwa maji kayavyulia nguo ayaoge tu. Hivyo usiwe na wasiwasi kama anakusogeza karibu na ndugu mwangalie tu na kuona hatua nyengine zinazofuata. Huyo ni baba mwema hapendi mwanawe aje kuhangaika au kuja lelewa na baba mwengine wakati yeye yupo. Ushauri wangu kama munapendana na unaona baba mwema na anamoyo wa kujirudi mpe nafasi afurahie kulea mtoto wenu pamoja nawe, acha visasi na visirani kuwa mama bora mwenye mtazamo chanya sio mihasira na madonge ya kishabiki. Angalia zaidi ustawi wa mtoto wenu kuliko kujiangalia wewe kwa sasa. Mungu kama kapanga muishi na mulee mtoto wenu pamoja itikia mwito kwa shukrani, Nakutakia uchambuzi na maamuzi ya busara usije kujuta baadae.  
  Reply by: Salua, Date: 2012-07-16 07:31:08 [Report Abuse]    
     
  aisngeniona wala nini,na mtoto angepata jina la kwetu period!!nachukia sana ubazazi huu wa tabia za baadhi ya wanaume wasiojielewa  
  Reply by: Anonymous , Date: 2012-07-19 02:52:24 [Report Abuse]    
     
  cialis lmex auto insurance quotes 384 levitra viagra vs 8-[[ buy auto insurance online 347 insurance auto auctions =DD auto insurance rates tmmci  
  Reply by: Anonymous , Date: 2013-04-16 12:45:55 [Report Abuse]    
     
  alternatives to viagra 521673 cialis 8-] levitra and alpha blockers :-D classic car insurance 836 cheap auto insurance pbsy a auto insurance 431  
  Reply by: Anonymous , Date: 2013-04-20 23:13:05 [Report Abuse]    
     
  viagra xxd car insurance xlbrh levitra majpwv car insurance quotes zujitn viagra jpdcr car insurance online dmuquy Prix bas sur le cialis =-PPP  
  Reply by: Anonymous , Date: 2013-04-26 23:30:04 [Report Abuse]    
     
  cheap car insurance 540940 auto insurance quotes 950 buy viagra cheap >:-[ cheap car insurance =(( car insurance quotes 413 cheap car insurance 083424  
  Reply by: Anonymous , Date: 2013-05-03 05:45:07 [Report Abuse]    
     
  wnlabp payday loans online >:-OOO payday loans RfnFRu payday loan Alberta 2580 payday loan lDdoHW  
  Reply by: Anonymous , Date: 2013-05-03 09:40:44 [Report Abuse]    
     
  auto insurance >:[[[ cheap cialis sale online zttthi viagra on line :))) car insurance quotes 539 a auto insurance 16782 Acheter du cialis en ligne 8-DD  
  Reply by: Anonymous , Date: 2013-05-09 23:43:46 [Report Abuse]    
     
  cialis >:P over the counter viagra otupu eastwood auto insurance 8-((( cheap car insurance 789878 car insurance quotes niwqy auto insurance online gthudz Cialis générique en ligne 4764  
  Reply by: Anonymous , Date: 2013-05-11 12:00:46 [Report Abuse]    
     
  merbsoz Bad Credit Loans 1434 quick payday loans 8]]] payday loan Alberta IHJBq  
  Reply by: Anonymous , Date: 2013-05-17 17:27:06 [Report Abuse]    
Submit your comment here...!
  Topic Mzazi mwenzangu ajirudi baada ya mtoto kuzaliwa
  Reply
  Email Login/Register to use your username! (Click here)
   
  Enter Code
   
     
<<Back to Topics<< >> Reply to this message>><<EMAIL ME FOR NEW POST <<
womens pants, wedding dresses, wedding pictures, women shoes, wedding accessories, women nails, women hair, women message women send off, good wedding shoes and hotels
Any use of materials or photographs from HarusiYangu is strictly prohibited
© 2007. All Rights Reserved Designed and maintained by Bomba Designs