|
| |
| |
TOPIC: USHAURI
|
|
It's like I'm speechless,you promised to send some money to me,,to my surprise till now you have remained quiet as if there's nothing,,you are acting like a strange person to me,,,I didn't expect such a thing to a decent man like you,,if i were you, i could at least called and say "I'M SORRY, I DIDNT MAKE IT lakin kunyamaza kwako kumenishangaza sana,,sana,,,
A'way THANKS A LOT.
Wana HY kama mnakumbuka kuna mada niliwahi kuitoa kuhusu kuomba ushauri kuhusu mwanamke aliyenitaka baada ya kumtongoza kisha baada ya miaka 7 kuna mwana HY mmoja alinishauri kama shida yake msaada ni vema ni msaidie sasa nilichokifanya nikaongea nae. na kisha kumuahidi lkn shida yangu ilikuwa kumtega siku niliyo muahidi sikumpa. cha ajabu akanitumia mail ambayo nimeikopi hapo juu. sasa naomba nimjibu mwana HY jinalake silikumbuki vizuri kuwa m2 huyu yuko after pesa.
|
| |
Topic by:issa juma Date: 2012-06-18 |
|
|
| |
|
|
|
| |
E-MAIL ME FOR NEW POST |
|
|
 |
| |
|
|
| |
CHILDISH..... |
|
| |
Reply by: Anonymous , Date: 2012-06-18 07:24:28 [Report Abuse] |
|
|
 |
| |
|
|
| |
Yeah! |
|
| |
Reply by: Anonymous , Date: 2012-06-18 09:21:52 [Report Abuse] |
|
|
 |
| |
|
|
| |
Kwa nini unatuambia ulikumkubalia kwa kumtega tu?? Huo ni utoto na unamuumiza huyo dada.Sidhani kama unajua mtu akiwa na shida inakuwaje? Usichezee maisha ya mtu kwa ahadi ambayo unajua wazi hutatekeleza. Unaonyesha bado una utoto sana wewe.Kama hauko tayari kumsaidia si umwambie tu?Sasa unakuja hapa kuleta hiyo ili iweje?Ulitaka aje uchi kukuonyesha ana hamu ya kumtia ili ndipo umpe pesa/msaada alioutaka? Tafakari sana jambo hilo usituzuge hapa. |
|
| |
Reply by: Anonymous , Date: 2012-06-18 11:20:27 [Report Abuse] |
|
|
 |
| |
|
|
| |
Kosa la huyo mama ni lipi hapo?Anachokuambia ni udanganyifu ulioufanya ambao ndio umemsikitisha sana na amekuambia angekuwa ni yeye hata angesema samahani labda hujafaulu kutimiza ahadi yako?Hivi umeamua kumdalilisha huyo mama nini?Ulimleta hapa, halafu ukamleta tena, watu wakakushauri cha kufanya, halafu hujatekeleza unamleta tena hapa na kejehi,hivi unaujua ubinadamu wewe? |
|
| |
Reply by: Anonymous , Date: 2012-06-18 11:26:11 [Report Abuse] |
|
|
 |
| |
|
|
| |
Mwanaizaya wewe!!!!!!!! japo sijui manake. Kha! Mwe! Iiwe! mola nijaliee nisikutane na mtu kama weweeee.... nendaaa, nendaaa. |
|
| |
Reply by: Anonymous , Date: 2012-06-18 12:50:35 [Report Abuse] |
|
|
 |
| |
|
|
| |
umeleta hiyo nukuu hapa kuomba ushauri. ushauri ni kuwa mwambie huyo dada ulikuwa unamtega tu na ulitaka umuonyeshe namna ulivyo strange person, si mstaarabu kama alivyokuwa anakufikiria na wala hakupoteza chochote kwa kutoolewa na wewe. Ajue kuwa humjali kama rafiki wa zamani wala kama mjane, ajue kuwa hutaki hata kujua kiini cha matatizo yake yaliyomfanya awe desperate kiasi kile! Mtu kama hutaki kumsaidia kuna namna ya kumpotezea bila kumuumiza kisaikolojia. Wana HY huyu mkaka ni sadist, tumsaidie namna ya kuondokana na tatizo lake. BBM |
|
| |
Reply by: Anonymous , Date: 2012-06-18 12:57:54 [Report Abuse] |
|
|
 |
| |
|
|
| |
very babyish indeed.Wewe kaka unaonekana hujui hata unachokitaka ni nini wala hutambui unafanya nini.Acha kumsumbua dada wa watu kwa ahadi zisizo na kichwa wala mguu! |
|
| |
Reply by: Anonymous , Date: 2012-06-18 13:22:59 [Report Abuse] |
|
|
 |
| |
|
|
| |
Nanukuu:Topic by:juma issa Date: 2012-05-14 Ndugu zangu wa hy naomba ushauri mwenzenu yamenikuta mwaka 2005 niliwahi kukutana na dada mmoja dada huyo nikamuomba kum du, lkn yeye hakuonyesha ushirikiano kwakuwa mie ni mstarabu sikutaka kumfuatilia kwani nikaona ni heshimu mawazo yake. Issa unakumbuka maelezo yako ya awali ulipokuja kuomba ushauri wa dada aliyekukataa badae akarudi ? Unajua Juma wewe ulimuonyesha kuwa unanunua penzi huenda lingekuwa la muda,sio mapenzi ndio maana alikwenda kwa yule bwana aliyeonesha penzi la kumuoa, Bahati mbaya yule mwanaume aliyemtegemea alifariki ndipo akaona bora aje kukuuzia hilo penzi uliloliomba pindi ileeeeee, lakini ungeonyesha mapenzi ya dhati huenda angekuwa mkeo kwa sasa, tuyaache hayo nilichotaka kukukumbusha ni kuwa ulimpa picha mbaya tangu awali kuwa wewe unanunua penzi hivyo akaona kwa sasa anashida aje kukuuzia kama ulivyotaka awali, Pia ninalolisoma kwako niaona unasumbuliwa na ubakhili maana inakuuuuuma sana kutoa vijisenti vyako ili kumsaidia mwenzako hivi unafikiri bila kuonyesha huruma na ukarimu kwa mwanamke yeyote atakuwa tayari kukupenda kweli? Huyu dada amebanwa na shida ndio kakufuata kama rafiki huenda ingechochea zaidi upendo wake kwako na isiwe kuuziana penzi iwe mapenzi ya dhati. Ndio maana Angle alikupa ushauri ule kule nawe ukasema utaufanyia kazi kumbe bado unaumia roho? Ndio maana pia LUKUNDO alikunyamazisha akwambia ISHIA HAPO HAPO maana alijua nini kitakachofuatia, haya maisha jamani tukumbuke kuna kesho kwa maana unaweza kuja pata msaada pitia kwa huyo dada pia bila wewe kujua lakini umeshamkatisha tamaa kwa kutoonyesha ushirikiano kwake pia. Ninachokuusia mimi kama dadako ni kuwa usiwe na picha tofauti na huyo dada kama unaweza msaidie au mwambie siwezi kuliko kuja kumuanika hapa na kumdhalilisha kuwa anaomba msaada kwako, Kwenye uislamu tunafundishwa kuwakarimu mayatima hao watoto ni mayatima ungeweza kujichotea baraka kiasi flani kwa kuwasaidia hata kwa mara moja tu , na kuacha kuliko hichi unachokifanya hapa. Pole kwa kukueleza yote hayo maana maana naona kama unataka kuharibu kitu kizuri mungu huenda anakuandalia. Salua |
|
| |
Reply by: Anonymous , Date: 2012-06-19 00:44:20 [Report Abuse] |
|
|
 |
| |
|
|
| |
this is stupid and idiotism i will be suprised if you stand on the crowd and call yourself a man with this kind of nonsences that you have put here. kama huwezi msaidia why cant you just tell her? why unamwanika mwenzako hadharani?i believe this girl kakuomba msaada genuinely... before hujapublish hiyo mail yake ulitakiwa usome lines zake careful amesema na nukuu "I didn't expect such a thing to a decent man like you,,if i were you, i could at least called and say "I'M SORRY, I DIDNT MAKE IT" i wish she knew that you are not even closer to being decent sababu umemuanika HY. na hajakulazimisha umpe hizo pesa kama wewe ulivyoiweka she was expecting a favor from you thats why she has kept her hopes otherwise ungemwambie huna angeenda kutafuta pengine. hebu tukueni jamani sometimes.PRINCESS |
|
| |
Reply by: Anonymous , Date: 2012-06-19 01:18:46 [Report Abuse] |
|
|
 |
| |
|
|
| |
wewe kweli hujakua, wanaume wengine sijui vipi. MKIPENDWA MNAONA IT IS FOR MONEY, kwani wewe huwezi kumsaidia mtu. TENA UNGEKUWA MSTAARABU UNGEMSAIDIA UONE MWISHO WAKE. LOLLL. YOU ARE VERY FOOLISH NA.. NGOJA NIIISHIE HAPO |
|
| |
Reply by: Anonymous , Date: 2012-06-19 04:24:54 [Report Abuse] |
|
|
 |
| |
|
|
| |
Unatuaibisha wanaume wenzako wewe!! Wanaume tunajisikia sana kusaidia na ndio hurka yetu ufikapo mbele ya mdada unahakikisha unatua na kutuliza ghadhabu za mdada,lakini wewe unaleta za kuleta hapa kumdalilisha mdada ambaye amefika mikononi mwako kwa heshima yote na kujieleza. Sifa ya mwanaume ni kutunza hata kama si mpenzi wako, lakini kama ana shida basi mwanaume ni kusaidia ukijisikia kama vile hiyo ni familia yako.
Tuondolee aibu yako hapa katekeleze ahadi yako haraka sana. |
|
| |
Reply by: Anonymous , Date: 2012-06-19 12:03:47 [Report Abuse] |
|
|
 |
| |
|
|
| |
Me nna swali kwako we kaka, inamaana toka hiyo 2005 aliyokukataa mpaka leo huna mtu mwingine? kwa sababu kwa maelezo yako unaonyesha jinsi gani ulivyo player |
|
| |
Reply by: Anonymous , Date: 2012-06-20 07:48:56 [Report Abuse] |
|
|
 |
| |
|
|
| |
kwanza naomba msamaha kwa wana HY wote kwa namna moja au nyingine kwa kuwakwaza sana kwa hili jambo lkn pia ningependa tuwe na tabia ya kuheshimu mawazo ya mtu kwani mimi niliomba ushauri badala yake natukanwa badala ya kushauriwa nakushukuru sana DA SALUA kwa mawazo yako. pia mchangiaji wa mwisho ni kweli tangu muda huo kwa hari ya kawaida nilazima niwe na mtu ambaye ndo mama watoto wangu. Ndugu zangu msaada haukataliwi ila inategemea na jinsi au asili ya msaada wenyewe. labda kwa kuwa mimi nimeonekana sina msaada kwake na kuna mwana HY anatakakutoa huo msaada is ok, aseme nimpe contact atoe lkn mimi NO, i have lot of things to do with that money pia tabia ya kutukana nawasihi muache. |
|
| |
Reply by: Anonymous , Date: 2012-06-21 03:59:11 [Report Abuse] |
|
|
 |
| |
|
|
| |
Wewe ndio uache kudhalilisha wanawake. Hayo yote yametokea kwa sababu yako mwenyewe. Kama una mke na watoto haikukupasa hata uongeze neno lolote kwa huyo mama, zaidi ya kumwambia kuwa bahati mbaya nilishaoa na siwezi tena kurudia ya nyuma.Badala yake wewe ukaleta issue hapa kwani kulikuwa na ulazima gani kumleta hapa kama si kumdhalilisha tu.Na isitoshe wana HY walikushauri vizuri, na wewe ukaendelea tena kumpa ahadi za uongo na hatimaye unamleta tena hapa.Hapo ndipo umeonekana huna staha na bila shaka hujielewi unachofanya.Hakuna aliyekutukana zaidi ya kukupa ukweli wa unayofanya kuwa si vizuri.Kama ulijua wewe ni NO hutampa msaada ilikuweje ukamwahidi?shika dabu ungechezewa wewe kihivyo ungefurahi? |
|
| |
Reply by: Anonymous , Date: 2012-06-21 11:01:27 [Report Abuse] |
|
|
 |
| |
|
|
| |
Unapenda kusifiwa kwa upumbavu huo siyo? Unachomfanyia mwenzio kuwa ni kumdhalilisha huoni? |
|
| |
Reply by: Anonymous , Date: 2012-06-21 11:07:43 [Report Abuse] |
|
|
 |
| |
|
|
| |
kwanza hakuna mwenye akili hata mmoja humu mnajifanya kutoa ushauri wa kisenge fanyeni kazi za kujenga taifa siyo kupiga domo mtandaoni nyie wehu tu hamna lolote |
|
| |
Reply by: Anonymous , Date: 2012-06-22 00:42:49 [Report Abuse] |
|
|
 |
| |
|
|
| |
Bangi si lazima uvute kwa kuishika mkononi hata ukipita sehemu wanaichoma jua umevuta moshi wake, we mwehu mcharuko hapo juu hebu tupishe humu kama wewe mzalendo ulichungulia nini humu. Potea haraka umelewa wakati wa kazi unakuja kuvuruga kazi nyau wee!!! |
|
| |
Reply by: Anonymous , Date: 2012-06-22 09:25:41 [Report Abuse] |
|
|
 |
| |
|
|
| |
WOWWWWWWWWWW! Mbona watu mnagombana bila sababu. Jamani tupendane na tuheshimiane. |
|
| |
Reply by: Anonymous , Date: 2012-06-22 11:42:25 [Report Abuse] |
|
|
 |
| |
|
|
| |
tupendane? labda tuheshimiane.NASUKUA FULUSA HII KUFUGA LASMI MUJALADA HII. UJUMBE UMESAMFIKIA MULENGWA MWANAHY MWENZETU YAANI BULAZA ALIYENAKILI UJUMBE ALIOTUMIWA NA KUUPESTIA HUMU AKITEMEGEA MAKOFI NA VILEGELEGE AKAKUTANATA NA MAKWENZI NA VIBAO. KWA KWELI ILIKUWA UNEXPECTED OF HIM LAKINI NDO HIVYO EVEN GROWN UPS DO THE DANDERST THINGS. LETS MOVE ON PLEASE. |
|
| |
Reply by: Anonymous , Date: 2012-06-22 13:08:50 [Report Abuse] |
|
|
 |
| |
|
|
| |
Bahati yake kama sio kuufunga huu mjadala nilikuwa na lorry zima la upupu kwaajili ya huyo teen wetu........... |
|
| |
Reply by: Anonymous , Date: 2012-06-25 02:52:30 [Report Abuse] |
|
|
 |
| |
|
|
| |
^&($I found your blog site on google and check several of the early posts. Continue to keep up the good work. I just added up your RSS feed to my MSN News Reader. Looking forward to reading through far more from you later on!
[url=http://www.temantapimesra.com/member/5995/blog/view/7808-having-One-to-be-the-most-significant-plus-thickest/]Uggs On Sale[/url]
Uggs On Sale |
|
| |
Reply by: Anonymous , Date: 2012-12-11 14:07:11 [Report Abuse] |
|
|
 |
| |
|
|
| |
*()&You've got your point via a great deal far better than I at any time could, thank you!
Cheap Coach Handbags |
|
| |
Reply by: Anonymous , Date: 2012-12-13 02:11:46 [Report Abuse] |
|
|
 |
| |
|
|
| |
God, I feel like I souhld be takin notes! Great work |
|
| |
Reply by: Anonymous , Date: 2013-01-09 22:35:11 [Report Abuse] |
|
|
 |
|
|
| <<Back to Topics<< >> Reply to this message>><<EMAIL ME FOR NEW POST << |