Home
About Us
Photo Gallery
Home
Planner
Planner
 
  TOPIC: Mapenzi kinyume na maumbile yananifanya kua player!nisaidien namna ya kuacha

 

Mim ni kijana wa miaka 27 nafanya kaz benk kama credit officer,cjaoa ila naishi na mchumba wangu. Nimetokea kujihusisha na mapenzi ya kinyume na maumbile wakati nlipokua chuo kwan nlikua na galfrnd wa kidigo na akanfundisha mapenz ya hivi,toka kipindi hicho nimekua kilema kwan napenda sana na mchumba wangu hataki hata kusikia,tabia hii imenifanya kua na wana wake wengi tofauti tofauti ambao mwanzo hua nafanya nao mapenzi kawaida na baadae kuwaomba nyuma na wengi wamekua wananipa,mpaka leo na wanawake 4 ambao 2 hua nafanya nao bila kikomo na 1 hua anataka nimgusishe na kichwa cha uboho tuu kitu kinachonipa matumain atakubali siku cyo nyingi. UKWEL KABISA CPENDI TABIA HII NA NISHAENDA KWA WANASAIKOJIA ILI NTATUE TATIZO LANGU LKN KUNA HYU MDADA WA SINZA AMBAE HUA TUNAFANYA NAE AMEKUA AKINISHAWISHI NA KUJIKUTA NASHINDWA KABSA KUACHA,NAOMBEN NISAIDIENI NDG ZANGU NATESEKAA NA NAMPENDA MCHUMBA WANGU.
  Topic by: Date: 2012-06-11   
       
  E-MAIL ME FOR NEW POST    
     
  kaka sidhani kama ni kweli unavyosema unateseka na unampenda mchumba wako!!! ungekuwa unampenda kweli usingehangaika na wanawake hivyo. Tatizo lako ni wewe tuu kuamua kuwa hataki kufanya hivyo na utaacha. Kwanza tafakari sana jambo unalolifanya maana kwanza ni kinyume na mapenzi ya mungu! Gonjwa hilooooo usipojiangalia!  
  Reply by: Anonymous , Date: 2012-06-11 10:39:14 [Report Abuse]    
     
  Pole sana kijana wangu!! Kwa hali ulionayo mtu mwingine anaona mzaha,kama mchangiaji wa hapo juu anasema unahangaika na hutaki kuamua.Nadhani wengi hatuna uzoefu wa matatizo fulanifulani yanakupata unadhani inakuwa rahisi kuachia. Ukiwa 'Addicted" na kitu hata iweje kuacha si jambo la siku moja.Kuna hatua ndefu sana unazoweza kupitia hadi ufikie kuacha.La sivyo Mungu aingilie kati lakini kama ni kibinadamu ule uamuzi ni mgumu sana kwa sababu kuna kitu kinam-drive mtu hata bila kujielewa. Ndio maana katika nchi zilizoendelea kuna wale wavutaji walikubuhu na wanaharibikiwa kabisa, wanawekewa mihadhara kila wakati kuzungumzia madhara ya uvutaji, na namna ya kuondokana nayo,lakini hawaachii kwani lazima waende hatua kwa hatua.Kijana wangu, nakushauri zaidi nenda kwenye maombi ukaombewe na isiwe mara moja yaani badilisha maisha yako ya kijiweni yawe ya kwenye faragha/kanisani.Soma biblia kutana na watumishi. Nakuonea huruma sana uko kwenye hatari maana kulala na wanawake 5 wote unatembea nao huh itakugharimu sana.Naamini huyo mpenzi wako unampenda ila sasa hiyo tamaa ya tigo ndio inakuletea mushikili.  
  Reply by: Anonymous , Date: 2012-06-11 13:40:14 [Report Abuse]    
     
  I agree with you Reply by: Anonymous , Date: 2012-06-11 13:40:14. Mungu na Maombi ni everything Hakuna kinachomshindwa Bwana Mukozi wetu because He can move the mountains! So Kaka Pray hard na Muda mwingi unapoanza kufikiria mambo hayo always always shika Biblia yako badala ya kwenda kufanya kitendo hicho kichafu, fungua bible na usome! Kaka binadamu hatuwezi kusolve wenyewe matatizo yetu na ndio maana Mungu Baba alimtoa mwanae pekee Jesus Christ aje atufie msalabani na ule Msalaba ulikuwa ni Mzito sana kwake yeye (Jesus) Lakini Mungu aliye hai aliufanya ukawa mwepesi so Kaka peleka Msalaba wako kwa Mungu wako (Jesus) na atakusaidia kwa haya! Through Jesus everything is possible to whom believe that Christ is our Savior! Kaka Mungu akutangulie!~ Angel  
  Reply by: Anonymous , Date: 2012-06-11 14:21:26 [Report Abuse]    
     
  mdogo wangu, ulimwengu huu si wa kufanya ngono tu, eti wanawake 4, sijui 6, then unasema una mchumba, huo ni ulimbukeni, kwa mtandao wako UKIMWI NI NJE NJE pole sana, kwani kila demu wako pia ana wanaume wengine 4, kila mwana mme ana wanawake wengine 4 kwa wale wanajua PrOBABLITY mtajua mtando una watu wanangapi? Hata shule uliosoma bado haijakusaidia kitu kabisa, kijana miaka 27 unatakiwa uwe balozi mzuri lakini kwako ime kuwa HOVYOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOO. CJUI kama kanisani au msikitini unaenda kulingana na maadili uliyo nayo. Nakushauri Ufanye sala ya toba ubaki na mchumba wako mpaka hapo mtakapo funga ndoa.  
  Reply by: Anonymous , Date: 2012-06-12 00:30:23 [Report Abuse]    
     
  kwani huko nyuma kuna raha gani tofauti na sehemu ya kawaida jamani? yani mtu akiongea hizi habari huwa moyo wangu unasisimka sana kwa woga. na mpaka mtu anakuwa addicted hivi akikosa wa kumfanya kinyume na maumbile si ataweza baka hata watoto wakiume! sababu hao ni vulnerable, im really scared guys.aisee mleta mada please liombee hilo pepo likutoke sali sana na jaribu kurudia maneno ya mungu ili hofu ya mungu ikushike i hope utaacha. to start with futa number zote za wanawake ambao unafanya nao hicho kitendo, ikiwezekana badili hata number ya simu wasikutafute, then stick to your mchumba ukiona unapata mshawasho wa hicho kitendo jaribu kufanya kitu tofauti ambacho kitakufanya upotenzee. pia ingekuwa vizuri utambue hisia za mchumba wako asivyopenda kufanyiwa hicho kitendo na urespect that, hebu picture ni wewe unafanywa kinyume cha maumbile how would you feel? ukipata jibu kwamba hupendi then stop it unawaharibu wenzako maumbile yao. whether they do it for money or leisure.mimi ningekuwa mpenzi wako unaniomba unifanyie hicho kitendo ningenunua dildo kwa ajili yako na kukwambia let me first do you kwa dildo kinyume cha maumbile uone na wewe raha yake! then tuone if you will ever ask me next time.PRINCESS  
  Reply by: Anonymous , Date: 2012-06-12 03:00:52 [Report Abuse]    
     
  I like you PRINCESS. Kijana inamaana usichopenda kutendewa wewe usiwatendee wengine. kama unampenda mchumba wako acha msururu na ukubali anachokwambia mchumba wako. Salua.  
  Reply by: Anonymous , Date: 2012-06-12 03:55:03 [Report Abuse]    
     
  Nashukure sana princess,pamoja na wengine lakin ukwel kabsa najitahidi sana kupambana na hii hali na nategemea kubadili namba pale tuu ntakapo maliza wateja wangu..naombeni na mwombez wenu KIJANA MWATHIRIKA  
  Reply by: Anonymous , Date: 2012-06-12 11:34:46 [Report Abuse]    
     
  Wana HY mmi nadhani hii maada si ya ukweli kuna mtu anazuga tu kutuchemsha vichwa. Hebu soma vizuri comment ya hapo juu ya mwathirika utabaini kuwa huyo kama kweli ndiye basi hilo jambo halipo.hata ukisoma kisa chenyewe kwamba ana wanawake wengine 4 au 5 na amemtaja wa sinza, hivi kwa akili ya kawaida mtu unaweza kumtaja kweli kihivyo?Hili ni zugo tu wala msipoteze muda kuandika hapa.  
  Reply by: Anonymous , Date: 2012-06-12 13:32:42 [Report Abuse]    
     
  Jaribun kusaidia,mchangiaji wa juu kua hata na aibu,au koz matatizo yako kwangu,kama umeshindwa bas acha kuchangia..KIJANA MWATHIRIKA  
  Reply by: Anonymous , Date: 2012-06-12 15:17:47 [Report Abuse]    
     
  muogope mungu, anza kusoma biblia. Nakuombea now kwa jina la yesu hilo pepo likutoke. soma sana biblia, na ninampongeza mchumba wako ni mvumilivu. yaani km ni mimi ningeshakuacha kwa kuniomba tu hicho kitu.  
  Reply by: Anonymous , Date: 2012-06-13 02:39:24 [Report Abuse]    
     
  Kijana Kwanza Mimi naamini hukuja hapa kwa mzaha ila kwa kupata msaada. Pia nilikuwa najiuliza kwa nini umeamua kuacha wakati unasema unapendelea na inakushinda kuacha, sasa hii sababu ya kumpenda mchumba wako, ndio imekusukuma umehisi utamkosa kutokana na kuwa na tabia hiyo uliyoitaja, na kuwa na msururu wa wanawake na yeye amegundua? Au dhamira inakushitaki rohoni? Niende moja kwa moja kwenye ushauri kama kweli unamtaka huyo mchumba na umeamua kuachana na tabia hiyo kwa vile umegundua kua si maadili mema. Sijui kama unaamini katika mungu au wewe ni dini gani ila najua kwenye mambo ya dini kuna makatazo na katika makatazo hilo ni moja limo katika makatazao hayo, Pia katika imani tunaamini tabia chafu chafu nyingi ni tabia za Iblisi ambae ni baba wa uovu anae potosha na kuchafua ufahamu mzuri wa binaadamu na kufuata machafu na yaliyokatazwa. Nitakushauri jambo moja ila linataka ujasiri wako binafsi kwa vile umesema ulishaenda kwa wanasaikolojia bila mafanikio au linaweza kukugharimu endapo hutalichukua kwa uangalifu. Kwa vile unampenda mchumba wako mwambie ukweli anzia mbali kwa kumkumbusha siku ulipomuomba kinyume cha maumbile, pia mweleze kama ulivyoeleza hapa ila silazima umwambie bado unaendelea na wengine. Wewe mweleze hiyo hali inakusumbua na unaiacha kabisa na hutairudia, Njia nyengine tafuta mtu mwenye dini kisha mweleze kuwa kuna dhambi inakusumbua kuiacha, naikiwezekana mpe story nzima kama unavyoeleza hapa kisha mwambie umeamua kuacha na kusimama katika usafi na maadili mema, hiyo ni huduma maalumu sana ya kusafisha dhamira na kutubu lazima uviseme ukikaa navyo na kuvificha, kuna uwezekano wa kuendelea , pia uwe unamuomba sana mungu na kukemea hiyo roho inayokusukuma huko. Sijui unaishi mji gani ila kuna Ndugu/mchungaji mmoja anatoa huduma hiyo ya ukombozi wa mwili na roho, nitajitahidi kutafuta mawasiliano yake nikifanikiwa nitakupatia umtafute kwa muda wako, ni mwelewa sana na anauzoefu wa kuongea na mtu hata kama hataki kusema vitu kwa kuficha aibu anaweza kumsoma na kumchokonoa na kumsaidia na kuwekwa huru tena. Hivyo jipe moyo na mtu wa ndani anekusukuma kuviacha usimpuuze ni kuonyesha kuwa bado utu wako na dhamiraiko hai inakushitaki moyoni. Pole sana jitahidi utaviacha kwa kumtegemea mungu pia usiache kuomba mungu na kusali katika hili usiku na mchana ili akufungue . Salua  
  Reply by: Anonymous , Date: 2012-06-13 08:10:15 [Report Abuse]    
     
  Dada salua nashukuru sana,mim ni mkristu,kwel dhamira yangu inanisuta sana na najua ni dhambi kubwa zaidi duniani,zaidi nampenda sana mchumba wangu..hii ni toka moyon nampenda sana..siko tayar kumkosa kwa namna yyte ile..nikiwa nae hua najickia vibaya sana kwa tabia yangu najiona mkosaji sana..nakosa aman kbsa..nahis nikimwambia ukwel ataniacha na mm cko tayari kbsa dada salua nsaidie hiyo namba nitamtafta kwan kwel nimechoka na huu utumwa. KIJANA MWATHIRIKA.  
  Reply by: Anonymous , Date: 2012-06-13 14:51:04 [Report Abuse]    
     
  Hiyo dhambi unayofanya kijana hata shetani haitaki sasa kama shetani mwenyewe mkuu wa dhambi haitaki je kwamungu ni vipi? nikweli kubadili tabia ghafla inaweza kuwa ngumu ila tafuta kikundi cha maombi kisha jiunge na uombee suala hili ni hatari sana pole.WALLCOT  
  Reply by: Anonymous , Date: 2012-06-14 05:35:58 [Report Abuse]    
     
  Mumeo akikutaka aruke ukuta, mwambie akupe talaka yako, hafai huyo kuwa mumeo! Hakutakii mema huyo, uchafu wa malaya wa nje aliofanya ndio anataka kukuletea wewe?  
  Reply by: Anonymous , Date: 2012-06-15 03:40:47 [Report Abuse]    
     
  KIJANA MWATHIRIKA, 0757561574 na 0655052706 hizi ni namba za mtumishi atakaemuomba akusaidie katika tatizo lako, panga nae mkutane ana kwa ana sio kuongelea kwenye simu, Usiogope kumweleza tatizo lako ni huduma anayoimudu sana, naamini Mungu atakufungua kwa wakati wake ukimwamini. Pole sana. Salua.  
  Reply by: Anonymous , Date: 2012-06-15 04:24:10 [Report Abuse]    
     
  hii mada haina ukweli wowote. Kijana anasema akimaliza wateja wake ataacha, ameshamuomba mchumba wake ampe nyuma ila amekataa kata kata, anampenda mchumba wake na anaogopa akijua ukweli atampoteza !!!!!!!!!!! vele kontiladiktoli. wenye muda endeleeni kuchangia. MN  
  Reply by: Anonymous , Date: 2012-06-15 15:09:02 [Report Abuse]    
     
  Reply by: Anonymous , Date: 2012-06-15 15:09:02 Kijana inaonyesha alikuwa yuko kazini alipokuwa anajibu hoja yake, hivyo alimshukuru mchangiaji na kusema kuwa kimaliza kuhudumia wateja wake pale kazini atatoa chip yake ili asipatikane kimawasiliano na huyo mwanamke wa sinza aliyemganda na kumtia majaribuni. Uwe unamwelewa mtoa hoja kabla hujaruka kwenye tamati tafadhali. asante kuturuhusu kuendelea kuchangia na kumsaidia kuacha katika hili asilolipenda. Salua  
  Reply by: Anonymous , Date: 2012-06-16 02:27:21 [Report Abuse]    
     
  hebu mtoa mada niambie out of curiosity, wakati unaingiza uboo huko nyuma huwa hukutani na kinyesi? harufu mbaya? au inakuwaga vipi? halafu huyo mfirwaji anafikaje kileleni?  
  Reply by: Anonymous , Date: 2012-06-16 12:48:16 [Report Abuse]    
     
  Ann wa hapo juu !Kutiana hakuleti furaha tu kwa lengo la kufika kileleni, bali ule msuguano wa hizo dude mbili ndio unaoleta raha.Ndio maana watu wanapenda kutumia muda mrefu katika mchezo ili kuleta radha,utasikia mdada akisema usikojoe endelea taratibu ,si kwamba anatamani kufika kileleni bali anatamani ule msuguano unaoleta raha usiishe haraka.Hivyo wanaotumia kinyumena maumbile ndicho wanachokisaka na wala si kufika kileleni.Wanadai tigo ni tight hivyo eti inaleta raha pale mhogo unapopenyeza kwa kubanwa, mmmmmmhhh ufedhuli huu sijui tumsaidieje kijana wetu.Mimi nimejitolea kumwombea tu nadhani ndio njia muafaka zaidi kuliko hadithi nyingi za wachangiaji humu.  
  Reply by: Anonymous , Date: 2012-06-16 12:56:38 [Report Abuse]    
     
  Dada salua nashukuru kwa namba za huduma,ntamtafta na kumuomba kumuona,nashukuruni wenzangu kwa walionielewa na kunisaidia lkn pia hata wale wanaodhan ni mzaha na kuishia kunihukumu. Kwel niko na tatizo na nahitaj kulitatua kwa ushauri wenu na hata msaada kama alionipa dada salua. Kwa ww ulie uliza kuna nin cha ziada kwa kweli cwezi kukujibu lkn naomba ucjaribu ili kujua kunan nini kawan ni kama mvuta sigara,au unga..ni mateso ambayo ni magumu kuacha..KIJANA MWATHIRIKA  
  Reply by: Anonymous , Date: 2012-06-17 05:18:25 [Report Abuse]    
     
  kijana mwathirika, uko kwenye right track kwasababu kwanza umeshakubali kuwa una tatizo na ni tatizo baya na uko tayari kulimaliza hilo tatizo. kwa maana hiyo you have made up your mind na sisi tunakupa moral support kuwa inawezekana kulitatua hili tatizo. fanyia kazi mawaidha uliyopewa humu na zungumza na mtaalam kama ulivyoelekezwa na dada salua na mengine yatafuata almradi umeshakubali kosa na umeamua kulifanyia kazi. Ubarikiwe sana na kumbuka inawezekana!  
  Reply by: Pozi, Date: 2012-06-19 08:50:43 [Report Abuse]    
     
  dawa yake ndogo tafuta mwanaume mwenzio akugeuze hakika hutatamani tena.  
  Reply by: Anonymous , Date: 2012-06-22 12:17:23 [Report Abuse]    
     
  Pole sn kaka sema weew tu hujaamua kuachaunajua kila jambo ni uamuzi tu, mie nilishawahai kuexperience lkn huyu mtu alichukua hatua ya kuacha na akaweza why not u? hujaamua utakufa na ukimwi kaka na kulivyo na magonjwa mengi, chukua ha  
  Reply by: Anonymous , Date: 2012-06-28 05:17:54 [Report Abuse]    
     
  unajua nini,leo ukirudi kazini tafuta mwanaume mwenzio akugeuze then utajua inakuwaje halafu naamini utaacha,shwain  
  Reply by: Anonymous , Date: 2012-07-16 04:08:10 [Report Abuse]    
     
  #$%Hello there, I should say it is a clever posting. I'll certainly be seeking in on this web site yet again soon. [url=http://pan1321591.blogguan.com/view/93902/they-re-7-possibilities-this-worth-looking-at]Coach Handbags[/url] Coach Handbags  
  Reply by: Anonymous , Date: 2012-12-05 01:53:26 [Report Abuse]    
     
  ^&($great advice and discussing,I'll get this amazing for me .thanks! Burberry Outlet  
  Reply by: Anonymous , Date: 2012-12-11 14:07:11 [Report Abuse]    
     
  *()&This really is genuinely excellent news. Thank you for sharing it with us! Discount Uggs  
  Reply by: Anonymous , Date: 2012-12-13 02:05:40 [Report Abuse]    
     
  *()&Hi, exactly where did you get this info can you please support this with some proof or you might say some very good reference as I and others will actually enjoy. This details is actually great and I will say will usually be helpful if we attempt it possibility free. So if you can back it up. That may really support us all. And this may well bring some good repute for you. Louis Vuitton Outlet  
  Reply by: Anonymous , Date: 2012-12-14 06:14:46 [Report Abuse]    
     
  *()&Hi there might I reference some of the insight here in this blog site if I reference you with a link back again on your site? Louis Vuitton Outlet  
  Reply by: Anonymous , Date: 2012-12-17 00:09:05 [Report Abuse]    
     
  cialis online 1894 new jersey car insurance %OOO new york car insurance fmlb car insurance %-OOO a auto insurance xkc new york car insurance >:-DD  
  Reply by: Anonymous , Date: 2013-04-15 04:14:34 [Report Abuse]    
     
  auto owners insurance tqrnn online car insurance 6401 cheap auto insurance 897076 affordable auto insurance jvk inexpensive car insurance txskeg  
  Reply by: Anonymous , Date: 2013-04-19 10:06:26 [Report Abuse]    
     
  car insurance enjtl new york car insurance >:PPP state auto insurance xfz online colleges 8856 cheap car insurance 568186 viagra shrjb  
  Reply by: Anonymous , Date: 2013-04-20 06:00:48 [Report Abuse]    
     
  car insurance 946542 car insurance quotes 8-PPP cialis 703 cheap car insurance sdm cheap car insurance 82525 auto insurance mha  
  Reply by: Anonymous , Date: 2013-05-06 20:15:50 [Report Abuse]    
     
  auto insurance %-OO car insurance rates invc car insurance qoutes jafxtq auto insurance rates =-PP infinity auto insurance 165271  
  Reply by: Anonymous , Date: 2013-05-08 11:35:19 [Report Abuse]    
     
  cialis 861 a auto insurance pyiyit levitra and alpha blockers uriobm cheap car insurance aperjx Cialis tadalafil >:[[  
  Reply by: Anonymous , Date: 2013-05-11 01:34:14 [Report Abuse]    
     
  cheap car insurance liv levitra 036551 cheapest cialis oqvmz carinsurance 9329 online college >:(( cialis 493533  
  Reply by: Anonymous , Date: 2013-05-16 03:43:04 [Report Abuse]    
     
  arrpax payday advances %-[[[ personal loans >:]] payday loan Alberta DEjxk  
  Reply by: Anonymous , Date: 2013-05-18 16:10:42 [Report Abuse]    
Submit your comment here...!
  Topic Mapenzi kinyume na maumbile yananifanya kua player!nisaidien namna ya kuacha
  Reply
  Email Login/Register to use your username! (Click here)
   
  Enter Code
   
     
<<Back to Topics<< >> Reply to this message>><<EMAIL ME FOR NEW POST <<
womens pants, wedding dresses, wedding pictures, women shoes, wedding accessories, women nails, women hair, women message women send off, good wedding shoes and hotels
Any use of materials or photographs from HarusiYangu is strictly prohibited
© 2007. All Rights Reserved Designed and maintained by Bomba Designs