Home
About Us
Photo Gallery
Home
Planner
Planner
 
  TOPIC: Wanawake wa Tanga ni Noma

 

Nimekuwa na mahusiano na wanawake toka mikoa yote ya Tanzania. Mpaka sasa nawakubali sana wa Tanga kwa mambo flani.
  Topic by:Junuwasi Date: 2011-08-13   
       
  E-MAIL ME FOR NEW POST    
     
  ha ha mi natoka bara na mume wangu ananiambia kuwa mi ni noooma kitandani , tena alimuacha mtu wa tanga na akaja kunioa mimi,kwa hiyo hiyo yako ni perception tu  
  Reply by: Anonymous , Date: 2011-08-13 13:49:24 [Report Abuse]    
     
  we Junuwasi mkareee  
  Reply by: Anonymous , Date: 2011-08-13 14:07:49 [Report Abuse]    
     
  Sio siri Junuwasi Tanga line ni noumer, anayebisha mawivu yake tu ... au analiwa kisogo na bwanaake ye hajui.  
  Reply by: Anonymous , Date: 2011-08-13 14:17:39 [Report Abuse]    
     
  hakuna cha kabila wala nini ni mtu na mtu tu. Tanga kikubwa wanapenda sana limbwa.... ila pia inategemea napenda style gani,maana wangekua noma basi wanaume wauko wasingeoa kabila zingine. ufundi ni kama mapishi jikoni waswahili wanasema ni mkono wa mtu, sa na uko ni....unaexperience na wangapi. na katika kumi uwezi kuconclude. ila kila heri furahi tu si ndo watu wanataka  
  Reply by: Anonymous , Date: 2011-08-13 16:08:54 [Report Abuse]    
     
  Hongera makabila zaidi ya 126 ya Tz, we noma basi kama na ugonjwa umekupita basi unahitaji hongera sana. kwahiyo ndo umeoa hapo au? basi naona sasa mke uyo ajue utokaa utoke nje.kma ni nyumba ndogo basi ujue umewekewa limwata tu wewe, ukijaribu kutoka ukajaribu pengine kwawanojua zaidi basi ujue nako utasema ivoivo. ila ni vizuri kusifia kizuri. ila tumegee siri unayopata tujue uzuri wao, nasi wenye wake wa mikoa mingine tuwafundishe. maana kizuri kula na mwenzio. minimeoa kabila lingine naienjoy kwa kiwango nachokitaka ila inawezekana labda kuna vingine zaidi tumegee.maji ya kitunguu swaumu au? maana ndo zao au kuwekwa mgongoni?  
  Reply by: Anonymous , Date: 2011-08-13 16:12:49 [Report Abuse]    
     
  satisfaction ina mambo mengi. Kuna wanawake wako hot hata kama hawayajuhi mauno. Kuna wanaokatika lakini hawana joto. Kwa hiyo si wanaume wote tunapenda mauno ilihali kunako hakuna mvuto. Mimi nimeshapitia tanga lakini mwisho wa siku nimeoa bara.  
  Reply by: Anonymous , Date: 2011-08-13 18:13:59 [Report Abuse]    
     
  Mie nimeoa zanzibar,mambo mengi ni zero,yaani sometimes najuta kuoa huko lakini kwenye 6*6 ni balaa,hadi mabaya yote yamefunikwa.otherwise ningeachana nae.  
  Reply by: Anonymous , Date: 2011-08-14 03:47:52 [Report Abuse]    
     
  PERCEPTION TU, SIKU HIZI DUNIA KIJIJI BWANA NA USHINDANI UMEKUWA MKUBWA SAAAANA, MATOKEO YAKE KUMEZALIWA UTAPELI HUMOHUMO, MAMBO YA UBALAA WA TANGA YALIKUWA ZAMANI SANA SASA HIVI UBALAA UPO KILA KONA INATEGEMEA UMEKUTANA NA NANI. ILA WEWE KIBOKO UMEPIGA WANAWAKE WA MIKOA YOTE? PIA SINA HAKIKA SASA KAMA HUYO WA TANGA NDIO ALIKUWA WA MWISHO KUMGUSA KATIKA ORODHA YAKO AU NDIO ULIPIGA HALAFU UKAMALIZIA ORODHA YA TANZANIA NZIMA THEN UKAONA RADHA HAKUNA NA UKAMRUDIA. ILA WEWE TABIA YAKO KUKAA UCHI TU HUNA LOLOTE HAPO KWENYEWE UTATOKA UTAENDA KWA MWINGINE UTASIFIA TENA OH MTWARA NOMA, MARA OH WAZARAMU NOMA... ACHA KUJIDHALILISHA WEWE THAMANI NA UTU WAKO UKO WAPI KAMA KILA UENDAKO UNAVUA NGUO, UNATEST? SIRI YA MAPENZI MOJA TU KUVUNJA UKIMYA NA KUJADILI NA MWENZIO BANA. ILA NACHOSIKIA WATU WA PWANI NI NOMA KISA WANATUMIA LINE MBILI ETI TIGO NA AIRTEL ZOTE ZINAPATIKANA...... AU SIO? makekea@yahoo.com  
  Reply by: Anonymous , Date: 2011-08-14 04:55:01 [Report Abuse]    
     
  Mimi nafkiri tusijivunie sana makabila maana maumbile wote sawa, nywele nyusi zote ni mapambo huota na kunyolewa kuna mambo maalumu ndiyo yanayotafutwa katika swala zima la mapezi. Mimi nafkiri kumfurahisha mwenzi ni katika lile analopenda partner wako. ni kama mfano wa huyo mchangiaji hapo juu anasema anashindwa kumwacha mkewe kwa umahiri wake sehemu moja tu wakati yote zero kabisa, hivyo tukumbuke kuwa kila mtu na jinsi anavyopenda na anavyojiskia anapokuwa kwenye huduma hiyo, hizo ni kasumba tu ila kuna utundu katika matayarisho ambayo hao wanawake uliowataja mara nyingi wanapewa mafundisho katika kila jambo na kuandaliwa vizuri kwa ajili ya kufurahishana ndio maana utakuta utamaduni wa mikoa ya pwani umeonekana uko mstari wa mbele katika kuvutia katika maswala hayo. zaidi ya yote siku hizi elimu kama hizo zinatolewa kote kwenye kitchen parts na wengine katika faragha na wengine baina ya marafiki pia wanapeana mafunzo, hivyo wengi wamekuwa werevu juu ya hilo siku hizi.  
  Reply by: Salua, Date: 2011-08-14 10:07:47 [Report Abuse]    
     
  Tanga kwenye mahanjumati, lakini jamani mchezo ni ule ule tu, bora wewe mwenyewe umkarangie kitunguu na vilevile uongeze swaumu na pili pili mboga.  
  Reply by: Anonymous , Date: 2011-08-15 05:13:02 [Report Abuse]    
     
  He he he mbavu sina. Mimi ni mchaga ila kwa 6*6 hunitoa, nina uwezoo wa kukuzungusha mpaka pumzi ikutoke ukitaka. Mambo siku hizi mbona si Tanga tu? Nakwambia ukimsogelea mchaga kwa sasa kama umeoa utaisahau ndoa kabisa, maana kitandani ni fundi na maendeleo sambamba. Hakuna mwanaume amewahi kuniacha mimi. Mimi ndo huwa naacha na wananililia kabisa. Hadi leo hii nimeolewa na wengine wananitafuta kwa kupitia simu za marafiki zangu sema ni kwa kuwa nimeshafunga jeti na sina mpango na ex yeyote yule. Hivyo masuala ya kusema eti Tanga ni kiboko mimi nakataa. Uliza wanaume waje watoe ushuhuda hapa. Hata Tanga wapo ambao pia mchezo hawaupati kisawasawa!!!!!! Habari ndo hiyo.  
  Reply by: Anonymous , Date: 2011-08-15 07:38:40 [Report Abuse]    
     
  hahahahahah eheheheheh hao ndio wanawake vichwa vya familia kazi kuwaza ngono wote nyie ziro kabisa kama kuna anae bisha aje niprove kama uko sawa kunako  
  Reply by: Anonymous , Date: 2011-08-16 04:46:51 [Report Abuse]    
     
  halooo..eti tanga,tanga kitu gani mi mmanyema kigoma ujiji moja ,apa lazima udate anaje jua la azizi wangu na my ex...pia mapenzi sio tuu mauno na mambo mengine kama kujaliana,kuchukulia.likubwa zaidi kauli ,mwamke ulimiiii....  
  Reply by: Anonymous , Date: 2011-08-16 07:55:47 [Report Abuse]    
     
  Kabisa Anonymous 2011-08-15 07:38:40 hata me ni mchaga ila maex wote wananitafuta hadi kesho kutwa bf wa sasa mwenyewe kadata! swala si tu kujua hayo mauno sijui mastyle elfu kumi swala ni k yenyewe ina mnato???????! unaweza kata mauno lakini k yenyewe full maji sasa wapi na wapi???! hayo ni manjonjo tu kitu k yenyewe! bf wangu anaikubali mbonaa ya motooooo siku hzi ufundi ni mtu mwenyewe bwana kwanza maumbile then hayo mengine na usafi nao wahusu!!!  
  Reply by: Anonymous , Date: 2011-08-17 04:45:47 [Report Abuse]    
     
  mmh!  
  Reply by: Anonymous , Date: 2011-08-17 12:55:01 [Report Abuse]    
     
  mmh mnadanganyana tu,we anony date 2011-08-17 04:45:47 ndo umeongea.akha babu sie wengine wangoni hapa mume atatoka ofisini mbio km ana hitaji na nmemtuliza.ucpime km tunda likiwa tamu bana haina ukabila.hao watanga wenye wengine hawana llte wanaachika tu hovyo  
  Reply by: Anonymous , Date: 2011-08-18 05:58:15 [Report Abuse]    
     
  kabisa mwaya waache waendekeze mauno waache kusoma!! wakalie unyago tu hahahaha wanaume wenyewe wamesema wanaangalia wadada wenye pochi tu kwenye kuoa! nadhani mmesoma topic ya swali kwa wanaume tu! hahhah hii sasa ni challenge maanake makabila mengi ya coostal line walikalia mauno tu na unyago nw mapinduzi haya sijui watayaweza! wanawake its time you wake up jishughulisheni, someni kwa bidii! sio kuendekeza kufurahisha wanaume mpaka upitilize wakati wanaume wenywe washakua Marioooo. hahahaha nimcheka leo ukisoma topic ya swali kwa wanaume tu kama ulikua unyago unajifunza kukata mauno umeacha shule utakimbia uko haraka sana!!!!  
  Reply by: Anonymous , Date: 2011-08-19 02:01:26 [Report Abuse]    
     
  Anonymous , Date: 2011-08-19 02:01:26 mbona unaongea kama una kisa na hao wanawake wa coastal. Ni vema kujifunza vitu vingi muhimu ambavyo vinahitajika katika maisha ya kila siku hapa duniani. Hasa ukiwa mwanamke ili kuweka akiba kwa wakati unaohitajika. Kama ulisoma topic ya hao wanaume unaowaita mariooo je hukusoma ile ya yule dada anaeomba kufundishwa kukata mauno? jiulize kwa nini aje aulize hapa tena keshaolewa tayari? si ameona kunahaja ya kuboresha ndoa yake katika eneo hilo muhimu sana kwenye ndoa yake? hivyo usisanifu sana tamaduni za wengine ujue hata wao wangejua udhaifu wako wangecheka kuona kwa nini ushindwe, pia toa wazo kuwa wanawake wa huko wanajishughulisha na elimu hiyo tu, hapana fanya uchunguzi utakuta wamebadilika na tunasomesha watoto wetu kwa nguvu zote na tunawafundisha baadhi tuliyofunzwa kulingana na umri wao, tunawaadabisha na kuwaandaa na wao waje kuwa mama bora si bora mama. Najiskia fahari kuwa mwanamke wa kitanga, Pozi mnyangu wagaze?  
  Reply by: Salua, Date: 2011-08-25 01:29:17 [Report Abuse]    
     
  ^&($Cheers for this content, guys, continue to keep up the good work. [url=http://atlshowtime.com/ads/entry/girls-desire-to-change-these-apart]Uggs Clearance[/url] Uggs Clearance  
  Reply by: Anonymous , Date: 2012-12-11 14:28:34 [Report Abuse]    
     
  *()&Cheers for the info. Greatly appreciated. Louis Vuitton Outlet  
  Reply by: Anonymous , Date: 2012-12-14 06:18:07 [Report Abuse]    
Submit your comment here...!
  Topic Wanawake wa Tanga ni Noma
  Reply
  Email Login/Register to use your username! (Click here)
   
  Enter Code
   
     
<<Back to Topics<< >> Reply to this message>><<EMAIL ME FOR NEW POST <<
womens pants, wedding dresses, wedding pictures, women shoes, wedding accessories, women nails, women hair, women message women send off, good wedding shoes and hotels
Any use of materials or photographs from HarusiYangu is strictly prohibited
© 2007. All Rights Reserved Designed and maintained by Bomba Designs